Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

Wacha kwanza ifike ndo tutajua namna ya kufanya
Alafu mkuu, sio mpaka ifike ZZZ. Ikishaingia tu ZAA watu wanapaswa kuanza kukuna na kuumiza vichwa ila wabongo kama kawaida yao, watasubiri mpaka plate number ya mwisho ndio wataanza kujiuliza "hapa tunafanyaje sasa"
 
Nikusahihisha hii ngoma kwa voda na miaka ya 2000+
code ilikua inaanza hivi
voda 0744
mobitel 0713.
Asante sana kwa kunisahihisha mkuu. Please stay blessed forever. Nimejifunza kitu kimpya na cha maana sana..
 
Trust me..
E...sasa hivi namba ilienda haraka maana imekua rahisi kwa mid income people kununua magari kwa sababu ya easy access ya mikopo..hapa nazungumzia walimu,manesi,polisi na entry level jobs kwenye corporates hawa ni watu waliokua wakijikaza sana wananua pikipiki ila sasa majority ndo wanapush Vi IST, vitz na swift.... wakiisha wao kununua demand itashuka na haitatokea maskini kuanza kununua magari kwa Tanzania labda tulipwe yale mamilion ya Acacia
 
Sawa mkuu..
 
Kwenye hesabu za combinations, kuna faida kubwa sana ya kuongeza tarakimu moja ili ziwe 11 (au zaidi), kuliko kuanza na msimbo mpya (mfano 0654).

Idadi ya laini zinazosajiliwa kwenye msimbo mmoja ni ndogo sana kuliko zile zipatikanazo kwa kuongeza tarakimu moja zaidi.

Kama tarakimu zikiwa 11 (kama unavyopendekeza), idadi ya laini zitakuwa milioni 9 (9,000,000).

Kama wakitumia msimbo mwingine mpya (mfano 0654, kama wafanyavyo sasa), idadi ya laini zitakuwa milioni 2 (2,000,000 kwa misimbo miwili, yaani 1M kila moja).

NB: Kama mtandao fulani utaamua kutumia tarakimu 8 tu (mbali na ule msimbo wa mwanzo kama 0717), basi utaweza kusajili idadi ya laini milioni 100 (100,000,000)!!!

Mfano:
(0717) 154 631 28

Njia nyingine rahisi ni kupunguza idadi ya tarakimu kwenye msimbo, badala ya 4 basi zibaki 2 tu.

Mfano:
(07) 154 631 28 (kwa Yas)
(08) 154 631 28 (kwa Airtel)
(09) 154 631 28 (TTCL)
(05) 154 631 28 (Vodacom)
(04) 154 631 28 (Halotel)

Kila mmoja hapo anaweza kuwasajili wateja milioni 100!!!
 
Umefafanua vema sana mkuu. Congrats..
 
Me I have. Special number 2553000 34569845
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…