Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

Kudos. Asante sana mkuu..
 
Nimekusoma mkuu..
 
The first three digits are the area code, which is unique to each region. The next three digits also pertains to region, but narrows it down a bit. The remaining digits make up the line number.
 
Kwa ufupi, ni mlolongo wa tarakimu unaoturuhusu kupiga simu kwa watu mahususi wanaoishi katika sehemu mbalimbali kupitia kituo cha mteja cha laini ya simu, ambacho kwa upande wake kinaunganishwa na laini ya simu
 
Kwa ufupi, ni mlolongo wa tarakimu unaoturuhusu kupiga simu kwa watu mahususi wanaoishi katika sehemu mbalimbali kupitia kituo cha mteja cha laini ya simu, ambacho kwa upande wake kinaunganishwa na laini ya simu
Sawa mkuu..
 

Ilivyofika 0754999999 ikawa hamna namna kuanzisha code mpya

Kwa hiyo pale ni suala la fundamental principle of counting and protocol.
Pia issue kama ya Y2K ya mwaka 1999.
 
TCRA ndio wanawapangia hao miamba kila kitu ,ukiwa zako kawe ukwamani unaweza tu kudhani wanajiamulia ila kwa ground kuna a lot of protocols and regulations to follow
 
Mkuu, vp kuhusu number 5 hapo kwenye thread yangu??

Hilo linafikirisha sana. Sema pengine Alex Muuza Maembe hahitaji number hizo za mitandao tofauti tofauti kwa wakati mmoja.

Hata pia radio 📻 fm wanaweza kuwa na masafa yale yale mikoa yote nchi nzima. Mfano EFM ikatumia masafa FM 102.5 nchi nzima.
 
Haya mambo naimani usiku takupa clear answer maana antiel dorry yupo huko huko tcra sijui ila ni mambo ya telecommunications
 
Hata pia radio 📻 fm wanaweza kuwa na masafa yale yale mikoa yote nchi nzima. Mfano EFM ikatumia masafa FM 102.5 nchi nzima.
Mkuu, hili pia ni suala fikirishi sana, na hata sijui kwanini frequencies za redio hutofautiana katika mkoa mmoja na mwingine..!!??
 
Hilo linafikirisha sana. Sema pengine @Alex Muuza Maembe hahitaji number hizo za mitandao tofauti tofauti kwa wakati mmoja.
Ukihitaji kwa wakati mmoja unaweza kupata katika mitandao miwili alafu mtandao wa tatu na nne wakakwambia kuwa hiyo number sio vacant. Kuna watu wamekwisha zimiliki..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…