Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

TCRA ndio wanawapangia hao miamba kila kitu ,ukiwa zako kawe ukwamani unaweza tu kudhani wanajiamulia ila kwa ground kuna a lot of protocols and regulations to follow
Sawa mkuu. Lakini wanawapangia wakiwa na sababu fulanifulani ndio maana sisi tunahoji "the logic behind" ili tuweze kujifunza..
 
Sawa mkuu. Lakini wanawapangia wakiwa na sababu fulanifulani ndio maana sisi tunahoji "the logic behind" ili tuweze kujifunza..
Ndio regulations mkuu , kwaajili ya kuondoa chaos imagine kila mtandao ungekua na menu yake yakuangalia salio ,au menu ya kuangalia salio kila mtandao ungeachwa ubuni codes zake wasianze na 150..# ni sis watumiaji ndio tungechanganyikiwa
 
Ndio regulations mkuu , kwaajili ya kuondoa chaos imagine kila mtandao ungekua na menu yake yakuangalia salio ,au menu ya kuangalia salio kila mtandao ungeachwa ubuni codes zake wasianze na 150..# ni sis watumiaji ndio tungechanganyikiwa
Sawa mkuu, umefafanua vema sana na nikushukuru kwa hili.

Mkuu, kwa hiyo mitandao yote ikiamua kuwa na menu moja ya mobile money inayofanana (kwa mfano: *150*01#) inawezekana kabisa kiufundi??..
 
Nime elewa kwa ubora sana.
 
Mkuu, vp swali langu number 5?? Unaweza ukanipa ufafanuzi kidogo kama inawezekana?? Alafu mkuu, lakini hizo protocols si zinaandaliwa na wanadamu??
Namba za simu nchini Tanzania
zinatolewa chini ya kanuni za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tanzania Communication Regulatory Authority - TCRA).

Mamlaka hii inatoa leseni kwa ajili ya makampuni ya huduma za mawasiliano pamoja na simu na intaneti. Kanuni zake zinatawala fomati za namba za simu
 
Okay. Thanks mkuu..
 
Utateseka Bure mkuu usipoelewa hivi vitu vya msingi.
Huwezi kuwa na namba ya simu inayotumia carriers tofauti kwasabu hizi.
Duniani nchi yeyote Ile imepewa MCC yaani mobile country code kama ilivyo TZ +255, Kila nnchi ina yake ambazo ni namba Tatu za mwanzo.

MNC au MNO (Mobile network code au mobile network operator) hii sasa ndio inayotofautisha mtandao na mtandao, ndomana halotel utamkuta Wana 617, 623 n.k voda 750, 745, 760 n.k hizo namba Tatu ukiexclude sifuri ndio MNO zinatambulisha mtandao unaotumia. Kwahiyo tukisema namba Yako ya voda iwe inapatikana kama tigo au halotel inakuwa haiwezekani na ipo nnje ya mfumo.

MSIN (mobile subscription identification number) hizi ndio namba Tisa au kumi zinazokutambulisha wewe kama mtumiaji wa mtandao Fulani, na hizi umuhimu wake unakuja kwenye mambo mengi pamoja na wakati simu Yako inafanya roaming.
 
Kwanini wasingeongeza zero katikati au mwishoni? Mfano 0717-0 XXX XXX au 0717 - XXX XXX0
 
The first three digits are the area code, which is unique to each region. The next three digits also pertains to region, but narrows it down a bit. The remaining digits make up the line number.
Jibu sahihi kabisa lenye standards za ITU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…