Kwanini Mitandao ya Simu ilishindwa kuendelea kutumia codes za zamani (Voda-0754, Tigo Yas-0717, Airtel-0787)?? Any technical justification please??..

Kwanni plate number za magari ziliacha kutumia namba , A,B,C na D na kuamia kwendae E ?
 
Nice
 
Mpaka sasa makampuni makubwa ya simu yana code hizi
Vodacom 0741-0749, 0751-0759, 0761-0769
Airtel 0781-0789, 0681-0689, 0691-0699
Tigo(Yas)m 0710-0719, 0651-0659, 0671-0679
Halotel 0620-0629, 0611-0619
TTCL 0731-0739
 
kimsingi tigo walianza series ya 0719-0710 kisha wakahamia kwenye 0659-0652 na sasa wana 0678-0672 ambayo kwangu ndio series ngumu kuliko zote. Wameadopt 0772-0779 toka uliokuwa mtandao wa Zantel
 
Mpaka sasa makampuni makubwa ya simu yana code hizi
Vodacom 0741-0749, 0751-0759, 0761-0769
Airtel 0781-0789, 0681-0689, 0691-0699
Tigo(Yas)m 0710-0719, 0651-0659, 0671-0679
Halotel 0720-0629, 0611-0619
TTCL 0731-0739
Voda wana 0798 sasa hivi nadhani hata mwezi hajamaliza. Hii code ilitumiwa na mtandao wa SMART lets talk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…