Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Itakuwa mume wako,me sijaoa na sioi.Ni Kama nyie wanaume mnavyowaogopa bodaboda wetu....sijui Kwa nini?🤣🤣🤣
Hahahah kataa ndoa mkuu ni kujipa stress za hovyoItakuwa mume wako,me sijaoa na sioi.
Dini Gani au kabila Gani Hilo? Kuna makabila na baadhi ya dini mke mdogo ndie Huwa na woga hasa hakuna anayemuogopa na yeye ndie Huwa kwenye eneo hatarishi Sema baadhi sio woteKwasababu Hadi kuamua kuwa mke mwenza inamaana umejipanga kikamilifu na huogopi chochote.
Saiz hakuna Cha kabila ila mkemdogo akiamua kuolewa jua anajikubali.Dini Gani au kabila Gani Hilo? Kuna makabila na baadhi ya dini mke mdogo ndie Huwa na woga hasa hakuna anayemuogopa na yeye ndie Huwa kwenye eneo hatarishi Sema baadhi sio wote
Sio kweli Tena Sasa hivi ndoa za mke mdogo ni almost kama hazipo kabisa sababu ya Hali ya uchumi Kuna msemo unasema wenzio wanajaza mifugo kwenye Banda wapate pesa wewe unafungua Banda la kufuga wake wadogoSaiz hakuna Cha kabila ila mkemdogo akiamua kuolewa jua anajikubali.
1. Fursa za mali za Mume kwa urithi.Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao.
Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na mwisho unapelekwa mahakamani.