Kwanini mke mdogo anaogopeka sana na wanawake wengine?

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao.

Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na mwisho unapelekwa mahakamani.
 
Kwasababu Hadi kuamua kuwa mke mwenza inamaana umejipanga kikamilifu na huogopi chochote.
 
Dini Gani au kabila Gani Hilo? Kuna makabila na baadhi ya dini mke mdogo ndie Huwa na woga hasa hakuna anayemuogopa na yeye ndie Huwa kwenye eneo hatarishi Sema baadhi sio wote
 
  • Thanks
Reactions: jo5

Saiz hakuna Cha kabila ila mkemdogo akiamua kuolewa jua anajikubali.
 
Sio kweli Tena Sasa hivi ndoa za mke mdogo ni almost kama hazipo kabisa sababu ya Hali ya uchumi Kuna msemo unasema wenzio wanajaza mifugo kwenye Banda wapate pesa wewe unafungua Banda la kufuga wake wadogo

Zimebaki tu Kwa waislamu ambako nako hawezi olewa Hadi mke mkubwa aridhie
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Hapo vip!!
Katika uchunguzi wangu nimegundua mke mdogo katika familia ananguvu sana na anaogopeka sana na wanawake wengine pamoja na watoto wao.

Na kama mwanamke wako anakusumbua na hakuheshimu dawa yake jaribu kumuongezea mwezake hapo utakuwa umempiga zaidi ya kumpiga makofi mara ngumi na mwisho unapelekwa mahakamani.
1. Fursa za mali za Mume kwa urithi.

2. Ushirikina.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom