Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

aseee mimba inatesa sanaa, ila vingine mtu unaona kabisa unafanyiwa makusudi, mtu ananiamsha saa nane usiku eti ana njaa anataka chips yai
 
Kwa waliotahili ukubwani:
Ganzi ikiisha unafanya kitu gani ili maimivu yapoe?
Unalala?
Unatembea?
Unakaa?
Hakika kila kitendo utakiona kama ndo kinachochea maumivu.
Naifananisha hiyo hali na ujauzito.
Tuwavumilie tu kwani kubebelea mzigo kwa miezi tisa bila kuutua hata maramoja si jambo rahisi.
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
Mke mjamzito ana burudani zake bana weh 🤣
 
Hayo yote ni maigizo ya huko huko mjini, wamekuwa wakifundishana na kupania... sikuwahi kuyasikia vijijini!
ni kwel japo mengine ni automatic ila wanawake wa mjini wanazid'nilisikia hyo mwingine sa nane za usiku anamwamsha mmewe akamtaftie barafu mtaa wa pili na mwanaume na uboya wake anaamka anaenda
 
ni kwel japo mengine ni automatic ila wanawake wa mjini wanazid'nilisikia hyo mwingine sa nane za usiku anamwamsha mmewe akamtaftie barafu mtaa wa pili na mwanaume na uboya wake anaamka anaenda

Ni maigizo tu, cha ajabu uzi huu wanaochangia wengi ni wanaume... wanawake wahusika wachache wamechangia hapo juu wasome vizuri utaelewa.

Vijijini ni kula udongo tu na shamba wanaenda kama kawa, mujini full Isidingo!
 
Ukiachilia mbali na ujauzito kuwapelekesha kuna baadhi ya wanawake huwa wanafanya makusudi tu! Na hii inategemea na namna waume zao wanavyoishi nao pindi wakiwa siyo wajawazito!
Wengi wao ni makusudi.. mbona wadada wa kazi wakipata ujauzito hii hali huwa hawana. Tena wanaendelea kuchapa kazi. Nyie wa siku hizi mnanyeka sana.😀
 
Hata waliopata mimba makwao huu ufala hawana

Mi mke akiwa na mimba nampeleka kwao mpaka ajifungue
 
Ni maigizo tu, cha ajabu uzi huu wanaochangia wengi ni wanaume... wanawake wahusika wachache wamechangia hapo juu wasome vizuri utaelewa.

Vijijini ni kula udongo tu na shamba wanaenda kama kawa, mujini full Isidingo!
wanichekesha weye
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Eti mimba sio yako!
Labda ki zygote kinamsumbua huko tumboni ndio anakufanyia hio Mikasa.
 
Kuishi na mke akiwa mjamzito Ni kazi sana
Wakwangu kila siku mara naumwa hiki mara kile
Mara na hamu na nyama choma ukileta anadonoa anacha
Mara sijisiki kufanya chochote
Mara nikifua naumwa
Nakisugue miguu sifikii
Mara we mbishi
Nipikie nkipika Mimi sitamani kula
Kila saa kunywa fruto
[emoji23][emoji23]
Hongera kwa kulea
 
Back
Top Bottom