Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Haha KWA class pengine elimunilionayo kuanzia babampaka wajomba zako wanaweza wasinikaribie huko ntakuaibishaidea nzuri mwanaccm,..ila rudi class mkuu ujifunze imla.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha KWA class pengine elimunilionayo kuanzia babampaka wajomba zako wanaweza wasinikaribie huko ntakuaibishaidea nzuri mwanaccm,..ila rudi class mkuu ujifunze imla.......
nikweli hata mimi nimetoa mfano tuu wa vazi la vita ya jangwani, ila vazi hutegemea na mazingira ya vita (bado tupo pamoja)Zipo kombati za aina nyingi mkuu hii nikutokana na eneo mnalokwenda so kama ni jangwani mtavaa kombati zinazolandana na eneo huwa tunaziita MSADAMU
Kwanza naomba nikukosoe ninavyojua mimi mwanajeshi haitaji ulinzi au msafara maana yeye ndo mkuu wa ulinzi. Na katika msafara wake wa kwenda ofisini mkuu wa majeshi gari lake lenye nyota nne linakuwa mbele na La MP linakuwa nyuma mpaka atakapofika ofisini mbele ya gari lake panakuwa na pikipiki ya traffic ya kumuepusha na foleni. Kama nimekosea naomba nikosolewe.Au niuelewa wangu mdogo au upo tofauti na ukweli husika?
Kuna huu utaratibu wa viongozi wa kiserikali hasa hapa dar kutembea kwa masafara wa magari kadhaa ukiongozwa na pikipiki.
baadhi ni kama waziri mkuu .spika wa bunge MKUU wa mkoa na mkuu wa polisi Mara NYINGI wanapo kuwa wanapita huwa wanasafishiwa njia kabisa.
Lakini why kwa MKUU wamajeshi huwa tofauti??. Inamaaana kweli kiutendaji hawa wapo juu yake??.
Hivi nji ikipinduliwa nani anashika madaraka ya kuiongoza kama sio MKUU wa majeshi..ss kwanini hapewi heshima ??? au ndio utaratibu??.
wiki iliyopita tulinasa nae kwenye foleni bondeni alikuwa akielekea njia ya TEGETA alikuwa na msafara wa gari 1 tu ya MP ambayo ilikuwa mbele ilibidi washuke nakuanza kupangua gari ili MKUU aweze kupita.
Kwani ccm ni MTU!?Nimesema CCM kama chama sio mtu.Kumbuka kuna Jamaa hapo juu alisema kuhusu wanajeshi ambao wana nguvu kuliko askari elfu wa CCM.Sasa nikataka kujua kama kuna Jeshi tanzania hii ambalo lina uwezo wa kukataa amri ya CCM.NIPO TAYARI KUREKEBISHWA.
Umejitahidi sana kuonesha ukuu wa police kwa jwtz, safi sana maana polisi kwa sifa hukawii kusema IGP NI MKUU WA CDFukisoma kifungu cha 56(4) cha sheria ya ulinzi wa taifa Tz, kinawataka jeshi la ulinzi, kutoa taarifa ya mazoezi yao kwa wakazi wa maeneo husika kama mazoezi hayo yataingia kwenye makazi ya watu, basi na mtu atakaye kaidi au kuingilia mafunzo yao atakamatwa na askari wa jeshi la polisi au ofisa wa jeshi la ulinzi au na askari yeyote wa jeshi la ulinzi kwa amri kutoka kwa ofisa wa jeshi la ulinzi, natena mafunzo hayo yanapaswa yawe na kibali cha maandishi kutoka kwa waziri wa ulinzi s.56(1), na pia kwa waziri wa mambo ya ndani kwa mujibu wa penal code, sasa ni mara ngapi jeshi la kudumu au jeshi la ulinzi hufanya mafunzo karibu na makazi ya watu bila kutoa taarifa kwa wakazi? na tena jeshi hili la kudumu la ulinzi huwa hawatoi hata taarifa ndani ya jeshi la polisi chombo ambacho kimepewa mamlaka ya kuhakikisha watu hawaingilii mafunzo yao, kwa mujibu wa kifungu nilicho kitaja. nilazima dhana ya kudharauliana katika majeshi yetu yote iondolewe kila askari amuheshimu mwenzie kwa mujibu wa majukumu aliyo pewa na nnchi.
na hata kama ni kutafuta kwamba chombo kipi kina mamlaka juu ya chenzie bado jeshi la polisi litakuwa namba moja kimamlaka kwani ndiyo chombo pekee cha kusimamia sheria zote za nchi, ukisoma sheria ya usalama wa taifa letu utaona kwamba TISS hawana uwezo wa ku enforce sheria bali kuchunguza tuu lkn jeshi la polisi linachuguza na ku enforce, je ? nani zaidi kimamlaka ?
ukisoma kifungu cha 77(1) cha sheria ya ulinzi wa taifa, askari wa jeshi la polisi (police constable) ambaye kimsingi ni police officer anamamlaka ya kumkamata askari wa jeshi la ulinzi ambaye anasadikika kuwa ni mtoro katika jeshi hilo, au ni mtoro kabisa, kisha kumfikisha mahakamani au kumpeleka kwenye kambi yao, sasa mpaka hapo nani ni kiranja wa mwenzie kati ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi ? ingawa nao askari wa jeshi la ulinzi huweza kuwa na mamlaka ya askari wa jeshi la polisi pale watakapokuwa wanasaidia mamlaka za kiraia (yaani ku enforce civilian laws)kwa Kifungu cha 22 cha sheria ya ulinzi wa taifa Tz
ukisoma C.40 ya kanuni ya adhabu ndani ya jeshi la ulinzi (CODE OF SERVICE DISCIPLINE) inatamka kuwa kitendo cha askari yeyote yule wa jeshi la ulinzi kuzuia askari mwenzao au ofisa wao asikamatwe na askari polisi, wa jeshi la polisi ni kosa tena lina stahili adhabu ya miaka isiyopungua miwili, hii ni sheria ya jeshi la ulinzi lenyewe, swali ni kwamba ni mara ngapi askari wa jeshi la ulinzi hugoma kukamatwa na askari wa jeshi la polisi ? kwa kisingizio kuwa wao hawa wezi kamatwa na polisi ? na kwa mujibu wa kifungu hiki nani ni zaidi ya mwenzie ? any way TANZANIA POLICE FORCE IS THE ORIGIN OF MILITARY CIVILIZATION IN TANZANIA, DRAW ITS HISTORY FROM THE GERMANS IN COLONIAL PERIODS , FOLLOWED BY THE NATIONAL SERVICE, UKIACHANA NA KINGS AFRICAN RIFLE YA MWINGEREZA AMBAMO JESHI LA ULINZI HUPATA CHANZO CHA HISTORIA YAKE, NA TENA HATA VIONGOZI WA KWANZA WA JKT WALIKUWA NI POLICE, 'majeshi yote yanamajukumu ya ulinzi wa taifa letu na kuhakikisha usalama, ni lazima askari (wanajeshi) wote wa vyombo vyote muheshimiane na kuthaminiana.
NAHATA KAMA NI MFUMO WA VYEO VYA KIJESHI AMBAO ASKARI WA JESHI LA ULINZI HUTAMBIA SANAAAAAA, BADO WANAPASWA KUKUMBUKA KUWA MKUU WA KWANZA WA JESHI LA POLICE TANZANIA ALIKUWA NA CHEO CHA "MAJOR" ALIITWA "MAJOR DAVIS " alikuja Tanganyika akitokea South Africa (hiki kilikuwa kipindi ambacho tanganyika ilikuwa chini ya uangalizi wa muingereza), BAADA YA HAPO COMMISSIONER ELANGWA SHAHIDI AKAWA MKUU WA KWANZA WA POLICE KWA WAZAWA, NA BAADAYE TULIPO UNGANA NA ZANZIBAR ELANGWA SHAHIDI AKAWA "IGP" WA KWANZA WA POLICE TANZANIA
Sababu sherehe zile zimeandaliwa na jwtz.yule ndiye mwenyeji wa sherehe zile uwanjani pale....kama ndio ivo kwa nn kwenye sherehe za uhuru CDF ndio anakuwa benet na Prezdaa na siyo IGP?
Bonge la pointMkuu wa majeshi kila anapokuwa kuna msafara ...gari yake Ina Nyota Nne ...na gari Moja au Mbili nyuma Zenye namba private ...uwepo wa kimuli muli hutegemea Hali ...especially kwa Mkuu tulie naye Hana Makuu na hutumia sweepers tu pale anapokuwa na uharaka ...Zaidi ukiwa nyuma yake hata bila sweeper traffic wanakuwa wamepewa signal na utaona wanaita Magari ya upande wake .....anapita
Hata Mkuu wa TISS naye kwa wanaojuwa wanaweza ku spot msafara wake wa Magari meusi yenye private number ...hadi UWE unajuwa Ndio utaweza ku spot ..entourage yake .
Mkuu wa Majeshi nafasi yake ni namba mbili Baada ya Rais ....yeye Ana ripoti Moja kwa Moja kwa Rais ...sio kwa waziri ,waziri Mkuu au Makamu wa Rais ...ambao anawatii tu..., Ana access na Rais 24/7 ....hata usiku akiwa amelala Anao uwezo wa kuagiza aamswe ili waongee au amuone ...ikitokea hatari yeyote ya ulinzi na Usalama au maafa ..yeye Ndio mwenye jukumu la kukusanya taarifa Za vyombo vyote na kumpelekea Rais taarifa Rasmi ..muda wowote ...wakuu wote wa vyombo Vya Usalama ( Polisi ,Usalama ,magereza ,zimamoto etc ) yeye Ndio joint chief ..au mwenyekiti wa ulinzi na Usalama ( national security council )
Kwa Nguvu kubwa alionayo ...anatakiwa kuwa humble ...ili asionekane..kuwazidi waziri wake ,waziri Mkuu na Makamu HADHARANI ....kwenye Protocal arrangement ..anawapigia saluti ..lakini behind the scene wanajuwa yeye ni nani ...na anawazidi ...Sasa akianza kutembea na misafara Marefu ....na Nchi Hii ni ya kidemokrasia..atakuwa Ana send wrong message ...
Ngoja nivitafute hizi sheria nisome halafu nitarudiacha kudanganya watu, wewe hujui hata maana ya mwanajeshi, soma ibara ya 147(4) ya katiba ya Tanzania 1977, mwanajeshi maana yake ni askari wa majeshi yetu yote yaani polisi,magereza,jeshi la ulinzi, na jeshi la kujenga taifa. na pia unaposema JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA maana yake ni pamoja na polisi, magereza, jeshi la kudumu, maarufu hujiita jwtz kitu ambacho si sahihi kisheria, kwani wenyewe jina lao halisi ni REGULAR FORCE, huwezi kuwa na kitu TPDF kwa kuwa tenga polisi na magereza, (UNAPOSEMA TPDF NI PAMOJA NA POLISI+MAGEREZA) nenda kasome sheria ya ulinzi wa taifa (NATIONAL DEFENCE ACT 1966) Kifungu cha 10(1)a-d , pia soma sheria ya majeshi ya akiba ya mwaka 1965 part iii, (RESERVE FORCES ACT), Pia kuna kasumba ya kutamba kwamba kombati za mabakabaka zina maanisha eti ni jeshi kamili, hii kasumba haina ukweli tena inaonesha weledi mfinyu ktk masuala ya kijeshi, nguo zile za mabakabaka ni CAMOUFLAGE HASA UTAKAPOKUA UNAPIGANA MAENEO YENYE UOTO UNAO LINGANA NA VAZI HILO, (KIJANI KIBICHI CHENYE MCHANGANYIKO), HIYO ITAKUSAIDIA USISHAMBULIWE KIRAHISI NA ADUI, lakini kwa ujinga wetu tuna amini kombati za baka ndiyo uanajeshi kamili. huwezi kwenda pigana jangwani then ukavaa kombati za bakabaka , mtapigwa mchana kweupe, kwani itakuwa ni rahisi kwa adui kuwagundua kutokana na kwamba jangwani huwa akuna uoto wa kijani kibichi, kombati sahihi kwa jangwa itategemea na nature ya jangwa lenyewe na lazima itakuwa kaki, n.k
wewe wasema !Umejitahidi sana kuonesha ukuu wa police kwa jwtz, safi sana maana polisi kwa sifa hukawii kusema IGP NI MKUU WA CDF
poa ! utanikuta.Ngoja nivitafute hizi sheria nisome halafu nitarudi
We nawe ?! Hizo habari za wafungwa ni zakiusalama ?!Hisia za kichwani kwako. Kwa taarifa yako kila chombo hapo kina wajibika kivyake kutoa taarifa ngazi za juu. Huwezi kusema mfano mkuu wa magereza atoe taarifa ya WAFUNGWA kwa mkuu wa Majeshi.
na hata hivyo polisi ndiyo wahusika wakuu wa usalama wa ndani, na kwa mfumo wa vyombo vyetu IGP anawajibika kwa Rais moja kwa moja na si mtu mwingine yeyote yule.Sanasana polisi waache tabia ya kuchukua virushwa rushwa kutoka kwa watu maskini maana hivyo ndivyo vinavyo washushia heshima kwenye jamii. polisi mnamamlaka makubwaa sanaa ambayo hata mtu kama MKURUGENZI, MEYA, DIWANI, MBUNGE, hana hivyo msijitie aibu, nyie ni watu wakubwaa sana kwenye jamii mnao paswa kuonesha njia za unyoofu, sanasana toeni maoni kwa viongozi wenu (ingawa ni ngumu kwa mifumo yenu) iliwapiganie masilahi yenu ya halali ya boreshwe ili mfanye kazi bila hofu ya njaa ya maisha.Umejitahidi sana kuonesha ukuu wa police kwa jwtz, safi sana maana polisi kwa sifa hukawii kusema IGP NI MKUU WA CDF
Wewe acha kujibu usilolijua kabisa Rais ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama, Mkuu wa majeshi ni tofauti yeye ni Mkuu wa vikosi vyote vya Jeshi la wananchi wa Tanzania na anakua na cheo cha JeneraliMkuu wa majeshi ni amiri jeshi mkuu yaani rais. Una maana kwamba rais hapewi heshima?
hata maji marefu ni prof.....Haha KWA class pengine elimunilionayo kuanzia babampaka wajomba zako wanaweza wasinikaribie huko ntakuaibisha
Bonge la point
Una uhakika na hiyo paragraph ya katikati hasa kwenye maneno yenye mstari??????????Mkuu wa majeshi kila anapokuwa kuna msafara ...gari yake Ina Nyota Nne ...na gari Moja au Mbili nyuma Zenye namba private ...uwepo wa kimuli muli hutegemea Hali ...especially kwa Mkuu tulie naye Hana Makuu na hutumia sweepers tu pale anapokuwa na uharaka ...Zaidi ukiwa nyuma yake hata bila sweeper traffic wanakuwa wamepewa signal na utaona wanaita Magari ya upande wake .....anapita
Hata Mkuu wa TISS naye kwa wanaojuwa wanaweza ku spot msafara wake wa Magari meusi yenye private number ...hadi UWE unajuwa Ndio utaweza ku spot ..entourage yake .
Mkuu wa Majeshi nafasi yake ni namba mbili Baada ya Rais ....yeye Ana ripoti Moja kwa Moja kwa Rais ...sio kwa waziri ,waziri Mkuu au Makamu wa Rais ...ambao anawatii tu..., Ana access na Rais 24/7 ....hata usiku akiwa amelala Anao uwezo wa kuagiza aamswe ili waongee au amuone ...ikitokea hatari yeyote ya ulinzi na Usalama au maafa ..yeye Ndio mwenye jukumu la kukusanya taarifa Za vyombo vyote na kumpelekea Rais taarifa Rasmi ..muda wowote ...wakuu wote wa vyombo Vya Usalama ( Polisi ,Usalama ,magereza ,zimamoto etc ) yeye Ndio joint chief ..au mwenyekiti wa ulinzi na Usalama ( national security council )
Kwa Nguvu kubwa alionayo ...anatakiwa kuwa humble ...ili asionekane..kuwazidi waziri wake ,waziri Mkuu na Makamu HADHARANI ....kwenye Protocal arrangement ..anawapigia saluti ..lakini behind the scene wanajuwa yeye ni nani ...na anawazidi ...Sasa akianza kutembea na misafara Marefu ....na Nchi Hii ni ya kidemokrasia..atakuwa Ana send wrong message ...
Mko sahihi wakuu, lakini kitu kimoja tu ni kuwa Mkuu was UWT anariport moja kwa moja kwa raisi na siyo kwa CDF kama mlivyoelezea, na ndio maana uWT wana watu wao jeshini.
[emoji1] [emoji1] mkuu kuna vitu humu ukisoma unabaki kucheka tu.Una uhakika na hiyo paragraph ya katikati hasa kwenye maneno yenye mstari??????????