John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Very short-sighted mind argument. It seems that your thinking capacity is below the minimum average!Raia umpe nafasi ya kujadili jeshi ? Raia anajua nini kuhusu jeshi ? Kama mtu huna uelewa na kitu inakuwaje unataka nafasi ya kujadili usichokijua ? Mtu mwenye nafasi ya kujadili ni yule mwenye uelewa wa hicho kinachojadiliwa , kama huna uelewa huwezi kujadili hata kidogo
Siyo kila mtu ambaye amevaa sare (uniform) za Jeshi ni Mwanajeshi, lakini pia, siyo kila Mwanajeshi ni lazima avae uniform za Jeshi ili kujitambulisha kwa watu wengine kuhusu Uanajeshi wake. Aidha, siyo kila mtu ambaye ni Mwanajeshi kwa hapa Tanzania ni yule tu ambaye amepitia mafunzo ya kijeshi ndani ya Majeshi ya Tanzania, Usione Ukadhani!