Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

Very short-sighted mind argument. It seems that your thinking capacity is below the minimum average!

Siyo kila mtu ambaye amevaa sare (uniform) za Jeshi ni Mwanajeshi, lakini pia, siyo kila Mwanajeshi ni lazima avae uniform za Jeshi ili kujitambulisha kwa watu wengine kuhusu Uanajeshi wake. Aidha, siyo kila mtu ambaye ni Mwanajeshi kwa hapa Tanzania ni yule tu ambaye amepitia mafunzo ya kijeshi ndani ya Majeshi ya Tanzania, Usione Ukadhani!
 
Kuna komandi zingine nadhani zina limitation ya cheo cha juu, kwahiyo hata ukitaka kumpa U CDF ni lazima uanze kumpandisha vyeo zaidi ambalo litamfanya awe overqualified kwenye hiyo command na kulazimika kuamishiwa Komandi nyingine.
Kama nipo sahihi Komandi kama JKT maximum rank ni Kanali, nili observe hilo nilipo kua Jitegemee kitambo
 
Sio kweli Mkuu, Kamandi ya JKT mkuu ni Meja Jenerali R. Mabele. Labda kama ulikua unamaanisha Mkuu wa Kikosi ndio mara nyingi wanakuwa na cheo cha Kanali.
Lakini Kamandi zote wakuu wake wana cheo cha Meja Jenerali kasoro Kamandi ya Jeshi la Akiba nadhani ni Mkuu wake ni Brigedia
 
Shukrani mkuu, nilikua silijui hili
 
Umeelezea vizuri, safi sana
 
Hivi unatumia akili yako sawasawa au ni ya kupandikizwa!
 
Mboma - Kamandi ya Anga

Mwamunyange - Kamandi ya JKT
 
Kasome Military Intelligence utajuwa Raia ni nani katika Jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…