Kwanini Mkuu wa nchi anajificha (katua Private Aiport huko Dubai) ndege ATC B737 with registration number 5H-TCQ. Flight number TC 4401


hapo ndipo mnampokosea kufikiria kwamba wanahisi chochote kile kwa unyama wanaofanya, mnahitaji kujielimisha khs evil, evil people feel nothing, they have no soul kama binadamu wa kawaida.

mnahitaji knowledge of evil ili muweze kuelewa kinachoendelea.

tunadili na evil …
 
Unafikiri atakwenda wapi zaidi ya China labda na Uganda kwa dicteta mwenzake
 
Kitu ambacho nina uhakika nacho ni kuwa, wewe hapo huwezi kuwa na akili kuliko sisi wote hapa
 
The guilty are afraid!
Samia siyo mkuu wa nchi.
Nyinyi Majuha mlitaka Ashukie wapi Rais mnafananisha na Shangazi zenu wanaoshukia DBX? Lazima apate presidential welcome nchi nyingine anashukia kwenye uwanja wa Jeshi lnaandaliwa gwaride hivi ukiwa TEC au CHADEMA akili ndo zinapotea kabisa ?
 
Kwa maovu yote hayo aliyofanya, lazima nafsi yake imsute. Fazafaka anateketea ndani kwa ndani.
 
Tayari mzee wa kujiita una nyeti na kuandika kwa codes naona umewashwa.

Soma kwanza ma threads yako ya nyuma ya kumtabiria uwongo.

Yaani wewe ujuwe protocol ya Rais kuliko wenye kazi zao? Ridiculous
 
Huyu britanicca ana mapimbi wake wanamuona eti mtu wa system na eti anaandika kwa codes. Mimi kwa quality ya threads zake ahisi ana genes za kike tu. Kuna watu wanampumulia.

Yaani kweli huna aspect nyingine ya kuandika kasoro kutunga vinyuzi vya kisengesenge tu. Stop it if you are a real man
 
Labda ndio kaamua yaishe, maana kelele nyingi mpaka ashundwa kufanya kazi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…