Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?


Ukweli ni kwamba. Hakuna Bin- Adamu aliewai kukanyaga Mwezini.
Pili: Naomba nitoe elimu kuhusu neno "AZANA" ni neno lenye asili ya kiebrania maana yake MUNGU HUZIKILIZA na ni jina ambalo hupewa mtoto.
Walipofika wagriki na warumi, ktk maeneo ya Misri walilikuta hili neno hutumila kama ni enelo la kusini mashariki ya afrika yaani Kenya, Tanzania na Msumbiji.

Kisha Miaka ya 610 wakati Muhammed bin Abdullat anatafuta kiwaweka sawa wakuresh kuabudu kwa njia mpya, Bilal alianzisha jinsi ya kuwaita wakuresh kuja kwenye swala.

Kwavile Bilal alikuwa myemen upande wa mama na methiopia upande wa baba. alijua maana ya neno la Azana kwa kiebrania na kwavile alikuwa ni miungoni mwa watu wa eneo hilo ambalo lilikuwa linakaliwa na watu weusi, akaamua kulitumia kama njia ya kuwaalika watu kuja kwenye kujitakasa.

Kumbuka DINI ZOTE ZILIANZA AFRIKA. ndio maana njia wanazotumia Waislamu ktk swala zao ni kwamba wamekopi na kupaste matendo ya kiroho ya misri na ethiopia ya enzi za mababu zetu.

HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA.
 
Wapo wengi sana ila kwa amstrng ni porojo pls trust me!

USHAHIDI NILIONAO NI KWAMBA HAKUNA MTU HATA MMOJA ALIEWAI KUKANYAGA KWENYE MWEZI.

A HIGH CLASSIFIED FILE linalohusu uzushi huo lilianikwa na astronomer William Rutledge ambae alikuwa kwenye LUNAR MISSION in NASA ktk mission 2 zilizokananikiwa na zile mbili zilizokafeli za Apollo 19 na 20 mwaka 1976.

Rutledge ambae kwa sasa anaishi Afrika Rwanda. Nanukuu:
According to William, both of these missions were "CLASSIFIEDBJOINT SPACE MISSIONS" resulting from collaborations between U.S and Soviet Governments. They do not appear on any roster of NASA missions for good reasons.

The purpose of these missions was to investigate a large object on the far side of the moon in the Delporte- lzsak region allegedly discovered and photographed during Apollo 15. Mwisho wa kunuku.
Anaendelea kujuza kuwa picha iliokagundulika ni spacecraft kubwa sana ambae ilicrash na kutelekezwa mwezini miaka ya kale.

SIRI KUBWA KTK MISSION HIZI KWA MAELEZO YANWILLIAM NI KWAMBA. KTK CHOMBO HICHO KILICHOGUNDULIKA. ILIKUWA MIILI 2 YA WANAWAKE NA WALIKUWA "WEUSI". Na ndio chanzo cha bwana William kuacha kazi ktk NASA na kuja AFRIKA KUTUBU NA KUELEZA KUWA ULIMWENGU HUU NI WA VIUMBE WEUSI KILA MAHALA.

Na hivyo viumbe vipo mwezini na ndio wanaomantain order rejea kitabu cha ENOCH, "THE WATCHERS" ambao ndugu zetu wengi humu wanasema MAJINI.

WATU WANGU WANAHARIBIKA NABKUTESEK KWA KUKOSA MAARIFA. TUFANYE TAFITI......
 
siyo kweli, halafu haiko kwenye WIKIPEDIA, hiyo ipo kwenye WIKIISLAM.

Neil Armstrong (Conversion to Islam) - WikiIslam
 
Asante mkuu physics and astronomy imekuwa ndani ya damu sasa
 
Wapo wengi walioenda sema kwa amsrng ilikuwa ni rusha roho kwa russia

Huu uongo utakufikisha wapi? Nipe jina la huyo mtu aliyeenda mwezini recently? Chombo walichotumia kinaitwaje? kimeondoka lini? Nipe reliable source ya habari yako. Acha uongo bwana mdogo
 
Asante mkuu physics and astronomy imekuwa ndani ya damu sasa
Hongera. Mkuu hata physics yenyewe. Ina kinzana humo humo ni vyema uwe deep ukisoma. Si unajua ukweli haufundishwi darasani bali unatafutwa. Self work outs zitakufanya uwe deep ktk physics na astronomy
 
Unaposema 12 tayar washakuw weng na uctegemee watabak hao 2!!! Ina maana kuna wengine wataenda; na kuhusu wp npta data hata nikikuambia huwez amin! so, jua hivyo!!
 
Unaposema 12 tayar washakuw weng na uctegemee watabak hao 2!!! Ina maana kuna wengine wataenda; na kuhusu wp npta data hata nikikuambia huwez amin! so, jua hivyo!!
Watu 12 walioenda wote Ni zaidi ya miaka40 iiliyopota wewe unadai kuna mtu katoka huko juzi. Acha UONGO
 
Ttzo hat hmu jf wapo kna magu na wengneo lkn huwez watambua! Ni CFT hzo data!
Kwa Kuweka profile ya NASA unajikuta na wewe ni mwandani wa NASA meanwhile hujui unaemdanganya ana uelewa kiasi gani wa haya mambo au ni nani. Acheni kuwa delusional nyie watoto. FYI program ya manned mission to the moon ilifutwa kabisa hata fungu lake halitolewi hivyo haipo tena kadhalika budget ya NASA ilipunguzwa kwa kuona space exploration Ni upotezaji wa resources huku faida yake ikiwa ndogo ndiyo hapo unaona mwamko wa spaceX na private space exploration agencies. Nimemaliza!
 
Tatzo unakrupk baki hivyo hivyo na mm nakubaliana na we ili nikuache uendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…