Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kichekesho kikubwa ni kuwa Wamarekani hawajawahi kufika kwenye mwezi. Hiyo adhan walisikia wapi? Poor muhamadan
 
Ukweli ni kwamba nnje ya dunia hakuna gas..... Hivyo basi hata ukikaa pembeni yangu huwezi nisikia. Hadi tutumie vifaa... Ambavyo vitatumia radio waves. Ndio tuweze kusikilizana........ Je huyo Armstrong alisikiaje hiyo sauti? Naomba wana fizikia mnijibu kisomi zaidi ...... Hatutaki mambo ya youtube hapa...


KisomaX
Mkuu uko sahihi kabisa Armstrong kwanza hakufika mwezini hio iko wazi na fact zipo pili ukitoka nje ya dunia means unakuwa nje ya atmosphere ambayo hii atmosphere ni mchanganyiko wa gas mbali mbali nitrogen na oxygen zaidi ,Sasa sauti ikisafirishwa direct nje ya atmosphere haitaweza kusafiri means hata uwe umeshikana na mtu akiongea hutamsikia coz sound ni mechanical waves na ni lazima pawepo medium ili kusafiri medium huwa ni atmosphere Sasa never hao astronaut kusikia chochote nje ya dunia , Watasikia tu au kuwasiliana kwa kutumia Radio waves ambazo zenyewe haziitaji medium kusambaa ata kwenye vacuum zinapita hzi electromagnetic waves , wana anga wanavaa special handset ambazo mwenzie anapoongea sauti hio hubadilishwa na kuwa radio waves kisha kusambaa nakumfikia mwenzie kwa radio waves then ina decode nakusikia the actual thing sasa izi porojo za azana Ni hadithi tu za sungura na fisi
 
Hajawahi kukanyaga mwezini. Ni mauongo ya wamarikani kujipa umaarufu. Ni mwongo tu.
 
yaani ni ngumu sana kuamini kuwa kuna binaadam wabishi hata ukiwaambia baba yake ndiye baba yake atakukatalia
 
Watu wanakuwa kwenye uchunguzi wa anga huwasiliana kwa ishara na hata ungepaza sauti kwa kiasi gani huwezi sikika lakini kama wewe ni mwamini Mungu amini pia kwamba hata shetani naye yupo na wakati mwingi hujigeuza kuwa kama malaika wa nuru
 
Neil Armstrong Alisikia Adhana mbinguni kwa sababu ya Dini inayotambulika mbele ya Mwenyeezi Mungu ni Dini ya kiislam. Hakuna dini ingine anayo itambuwa Mwenyeezi Mungu zaidi ya Dini ya Kiislam na ndio Dini ya ukweli na Dini ya haki mbele yake Mwenyeezi Mungu. Ushahidi soma Quran Sura 3 Aya 19.

19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.

chanzo.3. SURAT AL I'MRAN
Ina maana kujitoa mhanga na kusababisha maelfu ya mauaji kumbe ni haki mbele ya mungu?! Ndiyo maana wakina kiranga na Einstein mnashindwana nao!
 
Back
Top Bottom