Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kwa ufupi dini ya mungu ni moja tu uislam hakuna ubishi na imetajwa kwenye vitabu vya mungu nyinginezo ni utundu wa binadamu kukithi matamanio yake
 
Baadaye alisilimu na kuwa mwislaam, Marekan ikamnyang'anya kila kitu ikaja mfunga na jela ikimshinikiza arudi kwenye din yake ya mwanzo

Hilo si kweli, Kilichomfanya Arstrong awe kimya ni sababu alijua fika kuwa hakufika mwezini. Basi mtu ajaribu Saudia kubadili dini kule ndio kuna haki nadhani watashangilia kabisa.
 

Wanao support hili, wanachojaribu kusema ni kwamba pamoja na mazingira yote kuto kuruhusu posibility ya kusikika Kwa Azaan nje ya Dunia and in a vacuum or something, lkn still sauti ilisika, there for it was a miracle for the God of Azaan to prove that is the one to be worshiped. Ni kama Yesu alivyotembea kwenye maji baharini, while normalu its not possible so if he did it must be or mean something. That's the argument behind the topic brothers!
 
Last edited by a moderator:

elimu elimu ndugu zetu! sio kila kitu ni mazingaombwe. mfano, ungejua mabadiliko yanayotokea ktk njia ya uzazi ya mwanamke anapokaribia siku za kujifungua usingefananisha kupita kwa kichwa na chupa!! endelea kuota
 
Wewe umethibitisha kitu gani?

Na unathibitisha na nini ambacho kinaweza kuthibitisha unachotaka kuthibitisha?

Naona hapa wewe na unaowalaumu nyie ni wale wale tu .....!!
 
Wewe umethibitisha kitu gani?

Na unathibitisha na nini ambacho kinaweza kuthibitisha unachotaka kuthibitisha?

Naona hapa wewe na unaowalaumu nyie ni wale wale tu .....!!

tuendelee kutafuta mchawi tu, ndo tulijualo
 
Kunakoitwa Kufika mwezini bado kuna utata sana kile kivuli kilitoka wapi kwenye picha? Wamarekani wanajua sana kutunga uongo
 
mkuu mwezini hakuna hewa, na ukikumbuka sayansi ya darasa la 3 propagation ya sound inategemea hewa ili mtu aweze kusikia, and in addition pressure ya mwezini haisupport uhai wa binadamu since it is lower than our blood pressure so to protect bursting of blood vessels kuna special jackets walivaa to cover their bodies, and they used electromagnetic waves to communicate , it was impossible to hear anything from outside.
 
kivuli kinaonyesha kuna some light rays blocked, ukiangalia solar system mkuu unashindwa kujua kama jua linafika mwezini?
 
Sio kweli, hata kwenye hiyo Wikipedia hajasema kitu kama hicho. Kwanza yeye alikuwa haamini uwepo wa Mungu (atheist), mpaka anakufa
 
Ingia google angalia The truth about Armstrong's trip. na mengeneyo utajicheka wewe unayedanganywa.

Nyie ndio mmaopata tabu ktk huu ulimwengu.
Kila kitu unauliza Google.

Hata ukimfumania mkeo unataka ushauri Google.

Ujinga kitu kibaya sana.
 
Na bendera ya USA ilikua inapepea wakati kule hakuna oxygen! Hilo kopo la peps linaanza kuonekana kabla hata chombo hakijatua!!


Once something gets moved in the vacuum of space, it won't stop moving until someone or something will make it stop.
 
Kwanza amstrong hakuwahi fika mwezini!!!
it was filmed in area 51
!! so kwa kifupi hio ni propaganda!!!
au uongo mtakatifu

Ukipata mda soma vizuri evidence za conspirancy theorists na evidence za NASA halafu jibu baki nalo hata ivyo kama ingekua hoax sidhani kama Rusia na China wangeshindwa expose hiyo kitu mana by then Soviet ndo walikua rival wa USA kwenye space programs
 
Wamarekani wameshafika mwezini six times, ishu ya Armstrong ilikuwa debate kushindania nani ni mwanadamu wa kwanza kufika mwezini.

Ikumbukwe soviet union ndo ilikuwa ya kwanza kupeleka chombo mwezini.

So nashangaa mtu anabisha eti mwezini hakufikiki... Watu wanafanya mipango ya kwenda Mars sasa.

Someni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…