kusoma huwezi, hata picha huoni?? tusiwe wepesi kuamini habari za kutunga kama hizi bila kuhakiki source. mtoa mada anasema source yake ni wikipedia, unamuamini? hebu search "neil armstrong" ktk wikipedia halafu angalia personal life yake then urudi hapa kusahihisha na wenzako.
halafu, mbona tunakuwa na wivu wa kike hivi? wenzetu wako mbali maana hawana huu uswahili wetu wa kutafutana uchawi,, NASA wanaanda safari to Mars in the near future. sie tupo tu tumekalia conspiracy theories,; tena zote from a single source mwanzo mwisho!! ajabu, is that even credible if you analyse it kwa jicho la kisayansi? na mbaya zaidi conspiracy theories haziwezi kuwa proven. hebu muulize ghostryder kama hilo kopo la pepsi yeye aliliona ,, ama amesikia tu kutoka kwa watu? watu walewale wenye akili ndogo waliokuaminisha kwamba source ya mada hii kumhusu armstrong ni "wikipedia", nawewe ukaamini bila ku-verify,, wakati wikipedia is just a couple of keys away kwenye device yako. pole