Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

Kichekesho kikubwa ni kuwa Wamarekani hawajawahi kufika kwenye mwezi. Hiyo adhan walisikia wapi? Poor muhamadan
 
Mkuu uko sahihi kabisa Armstrong kwanza hakufika mwezini hio iko wazi na fact zipo pili ukitoka nje ya dunia means unakuwa nje ya atmosphere ambayo hii atmosphere ni mchanganyiko wa gas mbali mbali nitrogen na oxygen zaidi ,Sasa sauti ikisafirishwa direct nje ya atmosphere haitaweza kusafiri means hata uwe umeshikana na mtu akiongea hutamsikia coz sound ni mechanical waves na ni lazima pawepo medium ili kusafiri medium huwa ni atmosphere Sasa never hao astronaut kusikia chochote nje ya dunia , Watasikia tu au kuwasiliana kwa kutumia Radio waves ambazo zenyewe haziitaji medium kusambaa ata kwenye vacuum zinapita hzi electromagnetic waves , wana anga wanavaa special handset ambazo mwenzie anapoongea sauti hio hubadilishwa na kuwa radio waves kisha kusambaa nakumfikia mwenzie kwa radio waves then ina decode nakusikia the actual thing sasa izi porojo za azana Ni hadithi tu za sungura na fisi
 
Hajawahi kukanyaga mwezini. Ni mauongo ya wamarikani kujipa umaarufu. Ni mwongo tu.
 
yaani ni ngumu sana kuamini kuwa kuna binaadam wabishi hata ukiwaambia baba yake ndiye baba yake atakukatalia
 
Watu wanakuwa kwenye uchunguzi wa anga huwasiliana kwa ishara na hata ungepaza sauti kwa kiasi gani huwezi sikika lakini kama wewe ni mwamini Mungu amini pia kwamba hata shetani naye yupo na wakati mwingi hujigeuza kuwa kama malaika wa nuru
 
Ina maana kujitoa mhanga na kusababisha maelfu ya mauaji kumbe ni haki mbele ya mungu?! Ndiyo maana wakina kiranga na Einstein mnashindwana nao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…