Alijuaje kuwa ni azana kwenye sayari nyingine
mwezi sio sayari mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijuaje kuwa ni azana kwenye sayari nyingine
Hakuna binadamu yeyote aliyewahi kufika mwezini. Unaamini movie za Hollywood? Labda kama alifika mwezini kwa maana ile nyingine.
Hakuna binadamu yeyote aliyewahi kufika mwezini. Unaamini movie za Hollywood? Labda kama alifika mwezini kwa maana ile nyingine.
Kumradhini wanazuoni, Hivi ni kweli Mmarekani Neil Armstrong alupokanyaga mwezini 1969 alisikikia sauti ya Azaan?
=====
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.
Source: wikipedia
kusoma huwezi, hata picha huoni?? tusiwe wepesi kuamini habari za kutunga kama hizi bila kuhakiki source. mtoa mada anasema source yake ni wikipedia, unamuamini? hebu search "neil armstrong" ktk wikipedia halafu angalia personal life yake then urudi hapa kusahihisha na wenzako.
halafu, mbona tunakuwa na wivu wa kike hivi? wenzetu wako mbali maana hawana huu uswahili wetu wa kutafutana uchawi,, NASA wanaanda safari to Mars in the near future. sie tupo tu tumekalia conspiracy theories,; tena zote from a single source mwanzo mwisho!! ajabu, is that even credible if you analyse it kwa jicho la kisayansi? na mbaya zaidi conspiracy theories haziwezi kuwa proven. hebu muulize ghostryder kama hilo kopo la pepsi yeye aliliona ,, ama amesikia tu kutoka kwa watu? watu walewale wenye akili ndogo waliokuaminisha kwamba source ya mada hii kumhusu armstrong ni "wikipedia", nawewe ukaamini bila ku-verify,, wakati wikipedia is just a couple of keys away kwenye device yako. pole
Ukweli ni kwamba nnje ya dunia hakuna gas..... Hivyo basi hata ukikaa pembeni yangu huwezi nisikia. Hadi tutumie vifaa... Ambavyo vitatumia radio waves. Ndio tuweze kusikilizana........ Je huyo Armstrong alisikiaje hiyo sauti? Naomba wana fizikia mnijibu kisomi zaidi ...... Hatutaki mambo ya youtube hapa...
KisomaX
Niko karne ya 21 mkuu, kule mwezini hakuna environment inayoruhusu kuingia binadamu hata kwa muda mfupi tu. Kuna solar wind za hatari sana.
Alijuaje kuwa ni azana kwenye sayari nyingine
Neil Armstrong Alisikia Adhana mbinguni kwa sababu ya Dini inayotambulika mbele ya Mwenyeezi Mungu ni Dini ya kiislam. Hakuna dini ingine anayo itambuwa Mwenyeezi Mungu zaidi ya Dini ya Kiislam na ndio Dini ya ukweli na Dini ya haki mbele yake Mwenyeezi Mungu. Ushahidi soma Quran Sura 3 Aya 19.Kumradhini wanazuoni, Hivi ni kweli Mmarekani Neil Armstrong alupokanyaga mwezini 1969 alisikikia sauti ya Azaan?
=====
When Neil Armstrong and co. walked on the moon, they heard sounds in a strange language they did not understand. ‘When Neil Armstrong went to Egypt, he heard the adhan, and said, "it was spacey something similar I heard while I was on the moon". Egyptian Friend told him that, it was the sound of Azaan (call for Muslim prayer). And Neil Armstrong immediately became Muslim because of this experience.
Source: wikipedia
Niko karne ya 21 mkuu, kule mwezini hakuna environment inayoruhusu kuingia binadamu hata kwa muda mfupi tu. Kuna solar wind za hatari sana.
Neil Armstrong Alisikia Adhana mbinguni kwa sababu ya Dini inayotambulika mbele ya Mwenyeezi Mungu ni Dini ya kiislam. Hakuna dini ingine anayo itambuwa Mwenyeezi Mungu zaidi ya Dini ya Kiislam na ndio Dini ya ukweli na Dini ya haki mbele yake Mwenyeezi Mungu. Ushahidi soma Quran Sura 3 Aya 19.
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.
chanzo.3. SURAT AL I'MRAN
how did you know kuna solar wind za hatari sana kama hakuna mtu aliwahi kwenda?
Tupe maelezo yako ya ukweli pamoja na ushahidi wako mkuyati og Usilete maneno ya Pumba kama una chuki kaa pembeni.hakuwahi kusikia wala kubadili dini!! so haya maelezo yako hayana ukweli wowote