Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

sawa,nimekupata
 
alipokuwa wizara ya ardhi lake oil imeongeza vituo vya mafuta vingi sana mijini kapata ardhi nyingi sana. na ardhi nyingi kahodhi huyu akjnamzidi Dp world
Lake oil sasa hivi wamechukuwa mpaka viwanja vya Tazara na Kujenga kiwanda cha sulphur.

Sasa hivi lake oil wamedhamiria kuwauwa kwa Sumu ya sulphur wakazi wa Kiwalani, Minazi mirefu, Temeke sandali na maeneo Jirani na hayo.
 
Umewazidi AKILI, UPEO na MAARIFA na bado unashindwa kuwazuia katika huo 'ufisadi' wao mnaoupigia kelele kila siku. We kweli POPOMA, hujui tu hata unaongea nini!!

Mwenye akili, upeo na maarifa hana muda wa kusugua kisigino cha mguu kwenye jiwe kisha kukaa barazani kumsengenya na kumzushia mtu day in, day out. Na kama ikimlazimu kumsema mtu kwa mabaya yake, basi hufanya hivyo kwa USHAHIDI usio na shaka na sio zile blah blah za wenye njaa na wivu.

KUUUBWA zaidi we popoma, akili, upeo na maarifa havitangazwi kwa nguvu; vitajionyesha vyenyewe......na ikilazimika kutangazwa basi hutangazwa na mashuhuda (yaani sisi tunaosoma mabandiko yako ndo tutaona hayo maupeo, akili na maarifa na sio wewe kutulazimisha kuona vitu hivyo wakati havipo).

Uwe na Jumatatu njema!
 
Ulidhani Ridhiwani Kikwete aliwekwa wizara ya Ardhi kwa bahati Mbaya?

Ndio maana huyu mtoto huwezi kumuona anakwenda Umra Saudi Arabia anaweza akafia hukohuko kwa roho Mbaya aliyorithi kwa babake.y
Baba mtu roho mbaya,mtoto karithi ,anafanya atakacho ......HV fisadi kama yule ,muuza madawa kweli wa kumpa uwaziri kweli???
Shame Tanzania.
#KataaMuungano,Muungano ni utapeli
#Dai katiba
 
Ni uzushi tu.
 
Mkuuu kumbe tukiachana na mambo ya YANGA kumbe upo vizuri upstairs??!
Dr Matola PhD ni very Intelligent ( japo zamani tulikuwa Maadui kweli kweli hapa JamiiForums hata Malaika wa Mbinguni wanajua ) ila likija tu Suala
la Yanga SC yake huwa nadhani ama kuna Bange anavuta au anakunywa Gongo kwani hata kama Jambo likiwa la Kweli Yeye atalikataa tu.

Kwa mfano kuna Uzi wa kuihusu Yanga SC nakuja nao muda si mrefu na Nitamtagi na ukiona haukatai au haukosoi naenda Kukojoa Makusudi pale MP1 Makongo ili MP Afande Victor na Afande Peter wanigombee kama Mpira wa Kona kwa Kunipiga na Kuniadhibu.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
 
Binadamu tumejaaliwa unafki sana,,,lakini naamini asilimia kubwa tungebahatika kuwa kwenye nafasi aliyokuwa nayo huyo riz,,tungeyafanya haya haya anayo yanafanya tena wengine nafikiri ingekuwa zaidi ya haya!!Ni nafasi yake acha aitumie,,nawe tumia nafasi yako kwa levo na uwezo wako pia ndio asili ya ulimwengu hatuwezi fanana kamwe,,hata mbinguni malaika wanatofautiana uwezo,,hawalingani kama wapo lakini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…