Umewazidi AKILI, UPEO na MAARIFA na bado unashindwa kuwazuia katika huo 'ufisadi' wao mnaoupigia kelele kila siku. We kweli POPOMA, hujui tu hata unaongea nini!!
Mwenye akili, upeo na maarifa hana muda wa kusugua kisigino cha mguu kwenye jiwe kisha kukaa barazani kumsengenya na kumzushia mtu day in, day out. Na kama ikimlazimu kumsema mtu kwa mabaya yake, basi hufanya hivyo kwa USHAHIDI usio na shaka na sio zile blah blah za wenye njaa na wivu.
KUUUBWA zaidi we popoma, akili, upeo na maarifa havitangazwi kwa nguvu; vitajionyesha vyenyewe......na ikilazimika kutangazwa basi hutangazwa na mashuhuda (yaani sisi tunaosoma mabandiko yako ndo tutaona hayo maupeo, akili na maarifa na sio wewe kutulazimisha kuona vitu hivyo wakati havipo).
Uwe na Jumatatu njema!