Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

Katinduliwe salama.
 
Hii habari naona mpya kwangu au kwa vile sijafika Coco muda mrefu...ila kwa mara ya mwisho niliona Wavuvi Camp imechukua nafasi ndogo tu miongoni mwa eneo liliwekwa ili kuwekwa biashara ambako kuna biashara nyingi hata za wazawa pia.

Na sehemu ya watu kukaa ipo kubwa tu....wala hatuwezi kuimaliza. Tena kuwepo kwa sehemu hizi za biashara kumeongeza hadhi ya Coco Beach, sasa wanaenda watu wa aina zote, unachagua tu mwenyewe unataka wapi, tofauti na zamani Coco ilikuwa inaonekana sehemu ya watu wa chini zaidi. Sasa hivi hata wenye vipato vya kati na vya juu na wasomi wanaenda na butudani zimekuwa nyingi zaidi......

Au labda kama eneo looooote limechukuliwa na kupewa Wavuvi camp, tujulishane.
 
Lake oil sasa hivi wamechukuwa mpaka viwanja vya Tazara na Kujenga kiwanda cha sulphur.

Sasa hivi lake oil wamedhamiria kuwauwa kwa Sumu ya sulphur wakazi wa Kiwalani, Minazi mirefu, Temeke sandali na maeneo Jirani na hayo.
Acha wawauwe tu
 
Lake oil sasa hivi wamechukuwa mpaka viwanja vya Tazara na Kujenga kiwanda cha sulphur.

Sasa hivi lake oil wamedhamiria kuwauwa kwa Sumu ya sulphur wakazi wa Kiwalani, Minazi mirefu, Temeke sandali na maeneo Jirani na hayo.
Yale maeneo ni maeneo ya viwanda

Pale hawajachukua bali ni wapangaji na wanalipa TAZARA.

Kafatilie mabadiliko ya sheria yameruhusu Maeneo ya reli kukodishwa au kuingiwa ubia wa uendelezaji
 
Aise,kwa hiyo beach ikatayobaki
Sisi mabeach gears itakuwa beach kimba aka beach mv [emoji1] hapo msasani au nako huko watatufata

Ova
Binafsi naona bora beach zibinafsishwe ili pawe safi
 
Kwan uyo mmiliki wa wavuvi camp si ndo mwny samaki samaki
 
"najua ipo siku mtanikumbuka,na mtanikumbuka kwa mazuri na si mabaya"......da!!! mwamba alipigwa sana vita!!!!
 
Magufuli ni nani nchi hii? Siyo rejea ya shughuli za serikali. Yeye ameshakufa serikali hii ni ya watu walio hai siyo wafu ina utaratibu wake wa kazi, ina vipaumbele vyake. Kila mara Magufuli Magufuli, who is him in this country? He's already dead full stop, can never be of any reference. Alikuwepo baba wa Taifa Magufuli ni nani mtu aliongoza kwa kipindi kimoja tu cha miaka 5 tena kwa kufeli sana?
 
Ulidhani Ridhiwani Kikwete aliwekwa wizara ya Ardhi kwa bahati Mbaya?

Ndio maana huyu mtoto huwezi kumuona anakwenda Umra Saudi Arabia anaweza akafia hukohuko kwa roho Mbaya aliyorithi kwa babake.
Utajiri mkubwa na roho mbaya ni dam dam
 
Yale maeneo ni maeneo ya viwanda

Pale hawajachukua bali ni wapangaji na wanalipa TAZARA.

Kafatilie mabadiliko ya sheria yameruhusu Maeneo ya reli kukodishwa au kuingiwa ubia wa uendelezaji
Una uelewa wowote kuhusu Sumu ya sulphur?

Unaelewa kiwanda cha sulphur kinapaswa Kujengwa maeneo gani?
 
Wazaramo wameusikaje hapo?so ile beach ni ya wazaramo pekee?kwa taharifa yako sasa hizo beach zimejaa washamba kibao waliotoka mikoani ndio wanaojazana pale.acha chuki za kikabila punguani wewe!!!
 
Hivi wale waliokuwa wanauza mishkaki apo Coco beach baada ya kuwekewa uzio wamehamia wapi?....maana mishkaki yao ilikua balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…