Kwanini Mmiliki wa Samaki Samaki kapewa Kuwekeza Coco Beach sasa ila Kipindi cha Hayati Magufuli hakupewa?

Sio zake zoote baadhi ni washkaji zake wanamtumia yeye kufanikisha mambo yao!
 
Ongea Na CCM Wenzako.
 
Unamaanisha nchi hii hakuna wanaovunja sheria au taratibu.

Nchi hii watu kufuata taratibu wameanza lini? Pesa yako tu
Kiwanda chochote kikubwa lazima NEMC watapita kabla hujaanzisha.
Hizo nyingine ni siasa tu
 
Mkuu samaki samaki ya masaki kile kiwanja kimeuzwa wamenunua wale wenye ukumbi wa super dome ndio jamaa kajiongeza kwenda kuomba hilo eneo la coco ili ahamishie samaki samaki hapo.
 
Nawe nawe,sasa pale wavuvi kazuia nini watu kuogelea ,hakuna ukuta hakuna nini,hiyo ni roho mbaya sana mkuu ,wavuvi pale alichojenga ni banda tu ,ambalo wa nje anamuona wa ndani na wandani anamuona wa nje,mpaka ni kamba tu kaweka upande wa baharini
 
Songea ndo kuna shell 3 mpyaa zote inasemekana zake. Na ile hotel ya [emoji294]3 Hunt club inasemekana ni yake pia.
Malory ndo mengii mnoo wanasema yake.
Woiiiiiih
 
DP World.
 
Songea ndo kuna shell 3 mpyaa zote inasemekana zake. Na ile hotel ya [emoji294]3 Hunt club inasemekana ni yake pia.
Malory ndo mengii mnoo wanasema yake.
Woiiiiiih
Sheli tena au? Si tulikubaliana filling station jamani?

Nyingine hii; Makuchu wazuri wa mjini wote wake.
 
Songea ndo kuna shell 3 mpyaa zote inasemekana zake. Na ile hotel ya [emoji294]3 Hunt club inasemekana ni yake pia.
Malory ndo mengii mnoo wanasema yake.
Woiiiiiih
Kila mkoa Pana story zinafanana mbona hamfikii Mo Sasa Kama ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…