Hata waliopendana upendo huwa unaisha wakiingia ndoani yanabakia mazoea na kuheshimiana tu.
Kupenda mtu forever and for always yahitaji uwe robot mkuu,sio kwa moyo huu huu
Hivi nilivyokua mdogo ulikua unaniambia nini kuhusu ''wali marage'' nikuelewe mzee
siambiliki sisikizi,ndio msosi wangu pendwa enzi hizo,ila sasa hivi swala la ''wali'' ni shida
sitaki kusikia wala kuona wali, "kwanini" msosi unakifu,unakinaisha, naula once kwa miezi.
Binadamu simfananishi na CHAKULA ila mkuu kupenda mtu mmoja milele "sio kwa miaka kadhaa" ila ni "milele" yapasa wote yani "mke na mume" wawe na PHD ya ushawishi wao kwa wao.
Nilikua sielewi maana ya ndoa za mikataba,kama sasa nimeanza kuelewa hivi,hizi viapo za kanisani hizi "mpaka kifo kitutenganishe" my futi... Kifo chenyewe ndio cha kupgana petroli au kuwekeana sumu!
Kuna lile kabila wanasifika kwa kuua waume zao,hivi unafkiri hawa maraia hawakutongozana huko nyuma? walitongozana na wakaoana kwa harusi na sherehe za kukata na shoka.
shida ni nini sasa hadi upendo upotee uliempenda utamani kumpoteza? "vile maviapo ya kanisani" sasa ili litimie andiko "hadi kifo kitutenganishe" basi practical inafanyika kifo kinatokea, Andiko limetimia.
Pendana Mpendanavyo,kuna kuchokana tu "Jamii ianze angalia namna ya kufanya kipindi/wakati ule umefika mmechokana" tusiangalie upande mmoja tu,tuangalie pande zote.
Watu wana fake upendo ili waingie kwenye NDOA tu,you cant realize fake love kama wewe binafsi uko na true love kwa mwenzio, ndio ile wanasema "mapenzi upofu eeh"
Ndoa za mikataba zije tena zije kwa speed,tusidanganywe na ma ahadi ya makanisani, nimejikuta naanza waelewa "waislam" ni kama waliona mbali sana eneo hili la "ndoa"
Sishangai kuona vifo upande wetu wa christians vikitamaradadi,kwanini? ni kwasababu hatujaandaa mikakati ya kumtoa/kumuokoa alie ingia kwenye ndoa yenye upendo FAKE.
LOVE IS UNDEFINED