Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Ila mi nachojua wanaume hawaangalii I love you nyingi, wanachukulia utii ndo upendo....na Sisi wanawake tukiwa tunataka ndoa tunajua kuigiza mashaallah....kila unaloambiwa unatii, wao wanachukulia unawapenda....So tunawaconfuse hawa Kaka zetu.
Nitoe kwenye hao kaka zako unaowa confuse! Siyo kwa mimi
 
Umetisha mkuu. Kuna watu wapo radhi kukatisha ndoto zao kwa ajili ya mapenzi. Bila kujua kwamba mapenzi kama ilivyo viumbe nayo hufa. Uliyekuwa unampenda baada ya muda fulani unamuona wa kawaida sana. Kuna mtu ulikuwa unampenda na huwezi kukaa masaa ma 3 bila kumjulia hali, lakini kwa sasa hata humkumbuki na wala hujui yuko wapi.
 
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…