Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?

View attachment 3136926
Asante sana kwa kuja na uzi huu. Wewe na makamu w Rais mumewasema na kuwa judge sana vijana
Kwa niaba ya vikao niliofanya na vijana wamenipa sababu zifuatazo.

1 maisha yamekua magumu kwa karne hii hamna ajira na kuanzisha biashara n ngumu pia mitaji hakuna. Option iliopo ni kulelewa na mashangazi

2 Competition kutoka kwa ma sponsor ( wazee) kuchukua girfriend zao wenye age sawa. Option ilio baki ni mishangazi

3 Gharama kubwa za mahali. Skuizi mpka 10M mwanamke akiwa kasoma. Option iliobaki n mshangaz

4 Femunism yaanani kauli ya 50 kwa 50 ati mshahara wa mwanamke ni wake sio wa familia. Angali vijana bado hawajajipata.option hua n mshangazi

5 feminism imeharibu mabinti kwani ulisha wauliza na wenyewe wanataka kuolewa?

6. Kwa mshangazi vijana wanapat pesa na sehemu ya kuishi. Kazi iliobaki ni kupiga show tu. Hamna Tozo

7vijana wamedai sio kwamba hawana nguvu ya kupambana watoboe bali ni ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira. Sio enzi zenu mlikuwa mnaletewa mtoto wa flani mnafukuzwa nyumbani mkaanze maisha . Sikuizi mabo yamebadilika pesa inahitajika , mahali zimekuwa juu

8 feminism imeharibu mabinti na kua pasua kichwa. Bila pesa na gari huwaambii kitu. Sasa vijana watavitoa wapii. Option n mshangazi

Na tunapoelekea vijana wamesema inabidi mabinti ndo wawe wanachumbia kama China. Wamechoka kuangahika. Mashangazi wamekuwa wakombozi wao

Nawasilisha maoni ya vijana kutokana na kikao kilichofanya mwezi uliopita Dodoma...
 
Yani hawa" vijana wanakera sana...yani kakijana kanaona mtu umevaa pete ya ndoa unafamilia yako bado kanajikakamua kukusarandia na hakataki kusikia..vinaudhi sana...vinapenda mtelemko hakuna kingine...
Vijana wanadai. "Hujawahi kuona kiwanja cha mgogoro kinauzwa au nchi inatawaliwa na jeshi lakini Raisi yupo"
Nawasilisha..
 
Hakuna lolote zaidi ya kupenda kitonga
Kwa hizo comment tu unaona shida ipo kwa mabinti. Feminism imewaharibu ndo maana vijana wamefuata mashangazi.
Life ni gumu sahivi usitegemee kumuona kijana kajipata kwenye umri wa 20s. Hizo n pesa za urithi au kafara. Ni vibaya sana kusema kuwa vijana hawapambani.

Nawasilisha ... kama mlezi wa vijana TanzaniA
 
sawa ndugu mlezi wa vijana, unafikiri nini kifanyike? maana hayo mashangazi ni wanawake walioshindikana kuolewa, wamejikatia tamaa sio kwamba ni wanawake bora, wanachofanya wanautumia pesa zao kuwalaghai hawa vijana, kiufupi mishangazi ni mikurumbembe iliyoshindikana imeachika kwenye ndoa mfano Christina shushu akiwa mshangazi, Wema akiwa mshangazi, Wolper akiwa mshangazi na wengine wa mifano yao utasema ni wanawake bora? mishangazi mingine haijawahi olewa imeishia kuzalishwa au imechomoa mimba za kutosha, na unaona vijana wanasema ili uwe na sifa za kuitwa mshangazi uwe umejipata
 
WAziri Gwajima na dunia nzima wamekuw wakipambania haki za wanawake na kuliacha kundi la vijana likiteketea. Kama hvyo kujiingiza kwenye mishangazi ni janga kama utumiaji wa dawa za kulevya.

KInacho kwamisha vijana ni ugumu wa maisha na Feminism

Vijana wakiwezeshwa kifedha kwa kupewa mtaji na ajira haya mambo utayasikia.

Je ushwahi kuwauliza mabinti kwani nao wanataka kuolewa?
 
Asante sana kwa kuja na uzi huu. Wewe na makamu w Rais mumewasema na kuwa judge sana vijana
Kwa niaba ya vikao niliofanya na vijana wamenipa sababu zifuatazo.

1 maisha yamekua magumu kwa karne hii hamna ajira na kuanzisha biashara n ngumu pia mitaji hakuna. Option iliopo ni kulelewa na mashangazi

2 Competition kutoka kwa ma sponsor ( wazee) kuchukua girfriend zao wenye age sawa. Option ilio baki ni mishangazi

3 Gharama kubwa za mahali. Skuizi mpka 10M mwanamke akiwa kasoma. Option iliobaki n mshangaz

4 Femunism yaanani kauli ya 50 kwa 50 ati mshahara wa mwanamke ni wake sio wa familia. Angali vijana bado hawajajipata.option hua n mshangazi

5 feminism imeharibu mabinti kwani ulisha wauliza na wenyewe wanataka kuolewa?

6. Kwa mshangazi vijana wanapat pesa na sehemu ya kuishi. Kazi iliobaki ni kupiga show tu. Hamna Tozo

7vijana wamedai sio kwamba hawana nguvu ya kupambana watoboe bali ni ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira. Sio enzi zenu mlikuwa mnaletewa mtoto wa flani mnafukuzwa nyumbani mkaanze maisha . Sikuizi mabo yamebadilika pesa inahitajika , mahali zimekuwa juu

8 feminism imeharibu mabinti na kua pasua kichwa. Bila pesa na gari huwaambii kitu. Sasa vijana watavitoa wapii. Option n mshangazi

Na tunapoelekea vijana wamesema inabidi mabinti ndo wawe wanachumbia kama China. Wamechoka kuangahika. Mashangazi wamekuwa wakombozi wao

Nawasilisha maoni ya vijana kutokana na kikao kilichofanya mwezi uliopita Dodoma...
NAKAZIA.
 
WAziri Gwajima na dunia nzima wamekuw wakipambania haki za wanawake na kuliacha kundi la vijana likiteketea. Kama hvyo kujiingiza kwenye mishangazi ni janga kama utumiaji wa dawa za kulevya.

KInacho kwamisha vijana ni ugumu wa maisha na Feminism

Vijana wakiwezeshwa kifedha kwa kupewa mtaji na ajira haya mambo utayasikia.

Je ushwahi kuwauliza mabinti kwani nao wanataka kuolewa?
wengi wao wanaenda hata kwa waganga ili waolewe, tatizo nani wa kuwaoa na hizo mentality za feminism
 
Wengi vijana wamehamia kwa mashangazi kwa sababu;
1.wanajua thamani ya mwanaume
2.ni wasafi
3.hawana mambo mengi, hawana papala wanasubira,
4.sio watu wa kupenda kuwasiliana mara kwa mara (hawana zile za baby umekula, nimekumiss,n.k)
5.Ni waaminifu ukiwa nao, hivi vitoto vinawapanga wanaume mpaka 8.
6.Hawana matatizo ya kiuchumi, hawa watoto utasikia kodi imeisha, pesa ya kusuka, anataka kufanya birthday party, mamake mgonjwa, simu iliingia maji anataka mpya.
Yaani mahusiano kwa hivi vitoto ni kama "mpango maalumu wa kupunguza umaskini wake"
Wewe kikao kijacho utakaa kwenye kiti cha mwenyekiti wa chama 😂😂
 
Wengi vijana wamehamia kwa mashangazi kwa sababu;
1.wanajua thamani ya mwanaume
2.ni wasafi
3.hawana mambo mengi, hawana papala wanasubira,
4.sio watu wa kupenda kuwasiliana mara kwa mara (hawana zile za baby umekula, nimekumiss,n.k)
5.Ni waaminifu ukiwa nao, hivi vitoto vinawapanga wanaume mpaka 8.
6.Hawana matatizo ya kiuchumi, hawa watoto utasikia kodi imeisha, pesa ya kusuka, anataka kufanya birthday party, mamake mgonjwa, simu iliingia maji anataka mpya.
Yaani mahusiano kwa hivi vitoto ni kama "mpango maalumu wa kupunguza umaskini wake"
Hapo kwenye simu iliingia/tumbukia kwenye maji ni kama universal formula wanaboa sana uongo wa kitoto. Au utasikia mic mbovu tuma sms kumbe yuko na mnyoa kiduku pembeni 🤣🤣
 
Back
Top Bottom