Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya Kitoto, Kishamba na Kipumbavu ya Kata Washa na Washa Kata ili Watanzania wakiilalamikia hii hali na Kero ndipo nyie mjifanye mmepata sababu ya Kumuondoa na mumweke CEO Wenu mpya mwenye Asili ya Zanzibar Isles.

Endeleeni tu kutuona Mapopoma.
 
Maharage yaliyo chacha
 
Maharage haondoki pale ni stori tu za watu.

Kwa sababu msingi wa tatizo la umeme ni Tanzania kutokua na vyanzo vipya vya umeme wakati mahitaji yameongezeka.

Sasa kwa sasa hata apewe malaika Gabriel kuongoza tanesco tatizo hili la upungufu wa umeme halitaisha hadi pale bwawa la mwalimu Nyerere likianza ana hadi pale vyanzo vipya vya umeme vikiongezeka.

Chanzo cha tatizo sio makamba, maharage, kalemani ama nani, chanzo ni Tanzania hatukuwekeza kwenye vyanzo vipya vya umeme kwa miaka mingi huku mahitaji yakiongezeka kila siku.
 
Huu mgao umetokea wakati kipara yuko hapo megawat, ila kabla yake haukuwepo tusisahau hilo!.
Ajabu Kipara kahamishiwa Wizara ya Nje akaendelee kulamba asali wakati Ma beans ye kabakishwa hapo ili ionekane huu msala wa kata washa umeme ni wake pekeyake!.
Awamu ya wapiga dili hii.
 
Sema jamaa la foreign kama mnampa mzigo sio wake maana kabla ya yeye wizara ilishakua tatizo
Huyu Ni Fisadi Kuu.. toka aingie tumekosa Raha. Visingizio na ahadi hewa nyingi. Kumsingizia Magufuli na Kalemani hawajafanya Service. Wakaanza kukata Umeme kisingizio miundo mbinu inafanyiwa service.. Kisha ikawa miundombinu inaongezewa ubora. Na Hali bado ni mbaya.

Magufuli aliwahi kusema Maji yanapunguzwa mabwawani Makusudi, na Umeme unakatwa Makusudi

Waondoshwe.
 
Tunajua kuwa Yeye na aliyeko Foreign sasa lao lilikuwa ni moja na mpaka hi Kata Washa na Washa Kata no kutokana na Upumbavu na Ufisadi wao huko Umeme Tanzania.

Wenye Akili Kubwa tunajua kuwa hamumtaki Maharage Mabovu na Kumuondoa hapo Umeme Tanzania mnamuonea Aibu hivyo sasa mnatumia Mbinu ya Kitoto, Kishamba na Kipumbavu ya Kata Washa na Washa Kata ili Watanzania wakiilalamikia hii hali na Kero ndipo nyie mjifanye mmepata sababu ya Kumuondoa na mumweke CEO Wenu mpya mwenye Asili ya Zanzibar Isles.

Endeleeni tu kutuona Mapopoma.
Makamba anaingia alikuta umeme unakatika,anaondoka unakatika,amekuja huyu unakatika ila Sasa Kwa upuuzi wenu eti aliyeingia badala alete suluhisho wapambe wake wanaolaumu Makamba,Sasa Kazi ya Kiongozi ni ipi? Upuuzi.

Mlisema shida ni Makamba haya katoka umeme unawaka? Mtumbueni na Maharage aje mwingine tuone kama umeme Utawaka.

Na nawahakikishia hata baada ya bwawa Kuzalisha hakuna siku umeme utaacha kukatika hapa Tanzania Hadi Serikalini itoe til.4 ku repair system yote,mtaandika sana threads ila ndio hivyo hakuna shortcut.
20230922_080341.jpg
 
Makamba anaingia alikuta umeme unakatika,anaondoka unakatika,amekuja huyu unakatika ila Sasa Kwa upuuzi wenu eti aliyeingia badala alete suluhisho wapambe wake wanaolaumu Makamba,Sasa Kazi ya Kiongozi ni ipi? Upuuzi.

Mlisema shida ni Makamba haya katoka umeme unawaka? Mtumbueni na Maharage aje mwingine tuone kama umeme Utawaka.

Na nawahakikishia hata baada ya bwawa Kuzalisha hakuna siku umeme utaacha kukatika hapa Tanzania Hadi Serikalini itoe til.4 ku repair system yote,mtaandika sana threads ila ndio hivyo hakuna shortcut.View attachment 2757756

Mnatumia nguvu kubwa sana kumtetea ila ndo aliyeharibu TANESCO, usifananishe mgao wa Kalemani na Marope bila shaka ubongo wako haupo sawa.
 
Toa ujinga hapa,Mgao ni mgao na kama ni kuharibu eleza alivyoharibu.

Technically wajinga na wapumbavu ni nyie wa awamu ya 5,mnajua kabisa kwamba zaidi ya 65% ya umeme ni maji mnapenda kuanzisha bwawa la umeme wa Maji ambalo haijulikani litaisha lini yet demand ya umeme inazidi kuongezeka na hakuna miradi mingine isiyotegemea maji.

Huo ni upumbavu.Mlisema tatizo ni Waziri katoka Washenzi umeme shida nini?

Kwa akili Yako mbovu unadhani Kuna siku umeme utaacha kukatika hata baada ya bwawa kukamilika? Uta fix upungufu unaoletwa na ukame vipi miundombinu iliyochoka Nchi nzima?
 
Makamba anaingia alikuta umeme unakatika,anaondoka unakatika,amekuja huyu unakatika ila Sasa Kwa upuuzi wenu eti aliyeingia badala alete suluhisho wapambe wake wanaolaumu Makamba,Sasa Kazi ya Kiongozi ni ipi? Upuuzi.

Mlisema shida ni Makamba haya katoka umeme unawaka? Mtumbueni na Maharage aje mwingine tuone kama umeme Utawaka.

Na nawahakikishia hata baada ya bwawa Kuzalisha hakuna siku umeme utaacha kukatika hapa Tanzania Hadi Serikalini itoe til.4 ku repair system yote,mtaandika sana threads ila ndio hivyo hakuna shortcut.View attachment 2757756
Swala sio kuondoa mtu... Unaweza kumuondoa mtu kumbe bado ana connection na watu wa kwenye Taasisi husika bado anaendelea kufanya huo ujinga akiwa nje ya taasisi. Magufuli aliwahi kusema Maji yanapunguzwa kijanja kwenye bwawa hili watu wauze majenereta na petrol... Ukizingatia sasa hivi petrol imepanda Bei, hivyo mtu mwenye kutegemea umeme kwenye shughuli zake analazimika kununua Generator kwa lazima na kununua Petrol kwa lazima hili hasishinde njaa.

Ukitizama wamiliki wa vituo vya Sheli na wamiliki wa kampuni za kuuza Generators utakuta mabosi ni hawa hawa viongozi. Mtu kuamishwa wizara sio kwamba ndio umemkomoa, kama bado ana connection na watu wa wizara aliyotoka bado madili yataendelea tu.
 
Na wewe kwa akili zako za kipumbavu ukaamini kabisa kwamba Tanesco wanafunguliaga maji Ili yatoke harafu watu wauze majenereta si ndio? Mna akili za kushikiwa sana.

Washenzi umeme Makamba katoka hakuna visingizio maana naona mnatoa matamko tuu huko huko
 
Toa ujinga hapa,Mgao ni mgao na kama ni kuharibu eleza alivyoharibu.

Technically wajinga na wapumbavu ni nyie wa awamu ya 5,mnajua kabisa kwamba zaidi ya 65% ya umeme ni maji mnapenda kuanzisha bwawa la umeme wa Maji ambalo haijulikani litaisha lini yet demand ya umeme inazidi kuongezeka na hakuna miradi mingine isiyotegemea maji.

Huo ni upumbavu.Mlisema tatizo ni Waziri katoka Washenzi umeme shida nini?

Kwa akili Yako mbovu unadhani Kuna siku umeme utaacha kukatika hata baada ya bwawa kukamilika? Uta fix upungufu unaoletwa na ukame vipi miundombinu iliyochoka Nchi nzima?
Acha kutetea utahira wewe... Unalinganisha Umeme wa Magufuli na umeme huu... Kwanza hata ulivyokuwa unatokea mgao kipindi cha Magufuli, tulikuwa tunatangaziwa kwenye page za TANESCO kwamba maeneo fulani umeme utakatika kwanzia saa fulani hadi Mida fulani...

Sasa hivi umeme unakatika tu, hakuna taarifa, ukiuliza kuna mgao wanakwambia hakuna mgao.... Taarifa rasmi ya ratiba ya kukatika kwa umeme hawatoi... Serikali yenyewe imekaa kimya
 
Na wewe kwa akili zako za kipumbavu ukaamini kabisa kwamba Tanesco wanafunguliaga maji Ili yatoke harafu watu wauze majenereta si ndio? Mna akili za kushikiwa sana.

Washenzi umeme Makamba katoka hakuna visingizio maana naona mnatoa matamko tuu huko huko
Tulia tukupe shule wewe... Unakuja kujibu hapa bila evidence... Labda tukuulize una facts zipi zinazokufanya ubishe kuwa maji hayapunguzwi?

Ukizingatia sasa hivi maeneo mbalimbali ya nchi mvua zinanyesha, mito imeanza kujaa maji. Kwa nini umeme uwe wa shida wakati mvua zimeanza kunyesha.
 
Back
Top Bottom