ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Weka evidence ya Madai ya Tanesco kufungua mabwawa maji yatoke Ili watu wauze jenereta.Tulia tukupe shule wewe... Unakuja kujibu hapa bila evidence... Labda tukuulize una facts zipi zinazokufanya ubishe kuwa maji hayapunguzwi?
Ukizingatia sasa hivi maeneo mbalimbali ya nchi mvua zinanyesha, mito imeanza kujaa maji. Kwa nini umeme uwe wa shida wakati mvua zimeanza kunyesha.
Mimi nikupe evidence gani? Nakukatakia kwamba? 👇