Kwanini mnatumia njia ndefu sana za kumtafutia Sababu za Kumuondoa CEO wa 'Umeme Tanzania?

Weka evidence ya Madai ya Tanesco kufungua mabwawa maji yatoke Ili watu wauze jenereta.

Mimi nikupe evidence gani? Nakukatakia kwamba? πŸ‘‡
 
kuwa huru kwanza kufikiri kabla ya kuanzisha uzi, fanya kwanza utafiti kwanini umeme unakatika, msg yako kubwa hapo ninayoiona ni namna ulivyoelezea hisia zako za chuki tu kwa wengine.
 
Malaika Gabriel tena, kha!
 
AFADHALI UPO,
Wenye kuelewa ni wachache, wengi wameponzwa na uongo wa Kigogo kule twitter. Wanaongiza chuki zao kwenye mambo ya muhimu.
 
Uongo mwingine wa kijinga sana,Matrilioni yote aliyopewa makamba yamefanya nini??

Matengenezo pekee Trillions 7
Bwawa lenu lenye nyufa Trillions 11 ,,, hakuna wizara imewahi kupewa maburubgutu mengi namna hiyo,Fisadi nyiee
Mkuu acha mihemko. Matengenezo gani yamegharimu 7 trilioni?

Taarifa ya serikali ni bwawa limetumia trilioni 6.7 ila hadi sasa imelipwa trilioni 5+

Hizo figures zako unazitoa wapi? Fuatilia taarifa halisi ya serikali mkuu achana na hadithi za vijiweni.
 
Si mlisema awamu ya 5 kulikuwa hakuna mgao,mgao unaousemea wewe ukitoka wapi?

By the way awamu ya Mwendazake haka ukisema hakuna mgao ni sawa tuu maana uchumi ulikufa hakuna viwanda Wala biashara Mpya zilifunguliwa zaidi zaidi watu walifunga biashara na kukombia Nchi.

Wewe Kwa akili zako mbovu za kimwendazake ambae hakuwekeza kwenye vyanzo vipya ulitegemea demand ishuke? Unajua saizi Kuna maviwanda, Mabiashara na watu wangapi wanahitaji umeme? Licha ya Tanesco kuwasha umeme wa megawatt 150 wa gas Kingereza desemba mwaka Jana Bado haujakidhi mahitaji.

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1704484542151532914?t=a57_dh0FIaBnFS_OqEvACg&s=19
 
Weka evidence ya Madai ya Tanesco kufungua mabwawa maji yatoke Ili watu wauze jenereta.

Mimi nikupe evidence gani? Nakukatakia kwamba? πŸ‘‡View attachment 2757790
Wewe nimekuuliza ulete evidence ya kwa nini unakataa maji hayapunguzwi kimakusudi, naona umekimbia swali na kuniuliza mimi.

Mimi ukiniuliza kuhusu evidence, nitakupa ya Kauli ya Magufuli "Kuna watu wanapunguza maji na kuyachepusha, hili itokee shortage ya umeme wauze majenereta na petrol"

Huyu aliyeongea hii kauli kumbuka ni Rais wa Nchi, sio mnywa kahawa... Na rais akitoa kauli kama hii inamaanisha kuna taarifa za kuaminika.
 
Uongo mwingine wa kijinga sana,Matrilioni yote aliyopewa makamba yamefanya nini??

Matengenezo pekee Trillions 7
Bwawa lenu lenye nyufa Trillions 11 ,,, hakuna wizara imewahi kupewa maburubgutu mengi namna hiyo,Fisadi nyiee
Amepewa matrioni mangapi ,yataje na sisi tujue inawezekana una taarifa kuliko sie
 
Uongo mwingine wa kijinga sana,Matrilioni yote aliyopewa makamba yamefanya nini??

Matengenezo pekee Trillions 7
Bwawa lenu lenye nyufa Trillions 11 ,,, hakuna wizara imewahi kupewa maburubgutu mengi namna hiyo,Fisadi nyiee
Onyesha ufisadi mkuu. Porojo pembeni.
Weka takwimu zako na za Tanesco tuone walichofisadia ni ngapi.
 
Wewe mpumbavu nini,Kila mwaka mabwawa yanapungua Kwa sababu ya kiangazi harafu unataka evidence gani Sasa.

Kwa hiyo huwa inafurika kiangazi si ndio?
 
ni njia nzuri sana na yakistaarabu, kwasabb unamuanda ajipime na ajitafakari kama anastahili kuendelea kua pale kwa wakati huo, then akikaza shingo kuwajibika mwenyewe na kujifanya mjuaji then mnamuwajibisha vilivyo kwasabb haelewi mambo yanavyopaswa kwendraan kistaarabu.....
 
Onyesha ufisadi mkuu. Porojo pembeni.
Weka takwimu zako na za Tanesco tuone walichofisadia ni ngapi.
Unashangaa sana ,kwanza matengenezo na kupungua Kwa uzalishaji sababu ya ukame sijui vinaingilianaje 🀣🀣
 
Unatumia nguvu kubwa kuja na video na link za twitter kutushawishi... kumbe ujinga tu

Kwa taarifa yako kipindi cha Magufuli ndio viwanda vingi vilianza kuzalishwa, miradi mingi kufufuliwa... Ndio maana aliwaandama sana TANESCO kuhusu umeme kukatika, sikiliza hotuba zake vizuri. Ndio maana mpaka akasema TANZANIA YA VIWANDA. Na kuziilisha hilo akawa anaenda kuzindua viwanda kila kukicha. Wewe unatetea upuuzi na picha zako za twitter wakati kiuhalisia viwanda vyenu zilivyozinduliwa na huu uongozi hatuvioni, sasa utazindua kiwanda gani na huu mgao husiokuwa na taarifa rasmi
 
Natumia Nguvu nyingi zipi Sasa,nitajie viwanda 2 unavyovijua wewe hapo awamu ya 5 na Mimi nikutajie viwanda 20.

Wewe Kwa akili Yako mbovu unadhani Viwanda Huwa vinaanzishwa Kwa porojo za Majukwaani πŸ˜‚πŸ˜‚,eti Tanzania ya Viwanda mbona hiyo 2020 hakuonesha hivyo viwanda?
 
Naunga mkono hoja πŸ‘
 
Wewe mpumbavu nini,Kila mwaka mabwawa yanapungua Kwa sababu ya kiangazi harafu unataka evidence gani Sasa.

Kwa hiyo huwa inafurika kiangazi si ndio?
Nimekwambia sasa hivi mvua zimeanza kunyesha unaleta porojo hapa... Ndio ni kiangazi, ila watu wanatumia neno kiangazi kufanya yao hili wakiulizwa wasingizie kiangazi... Mbona kipindi cha Nyerere hakukuwa na haya mambo ya maji kupunguza, au pia huko nyuma hakukuwa na kiangazi
 
Utakuwa wewe ni school dropout 🀣🀣🀣
Mabwawa ya umeme yanapata maji kutoka Mikoa ya Pwani au Kanda ya Ziwa kwenye mvua za vuli?

Unanipotezea mda umejaa makamasi kichwani hata akili huna,mabwawa yanapata maji kutoka mvua za Masika za Mikoa ya Nyanda za Juu,huku mvua Bado Hadi desemba.
 
maharagwe kaondolewa,then umeme ndio utarudi?

tanesco problem wala sio uongozi,ni political issue,ni more of a government failure kuliko tanesco failure!

politicians ndio tatizo wala sio Tanesco

kaingia hanga,then,umeme ndio utawaka?
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…