Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

Ni kinyume cha sheria kumpiga mtu picha bila ridhaa yake! Labda kama kasogea kwenye eneo binafsi la nyumba ya mtu! Lakini mtu anapita njani au barabarani makamera yanapiga picha tutakuja kuzivunja hizo camera kwa mawe ya manati!
Na kwenye mabup wanefunga kamera sasa tukienda kuburudika wanatuchora tu,hadi tunakosa uhuru wa kushika huku😄😄 tunaibgia room kamera zinatusindikiza hadi noma.
 
Back
Top Bottom