Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
- Thread starter
- #41
Hiiii🙆We ni bambo ? Mambo ya seto😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiiii🙆We ni bambo ? Mambo ya seto😂
Duh. Sasa unaniponda tena!!Huyu katoka Bush huko Simiyu hajui Photo cell light...Kwamba iki sense inawaka
Ametoka Iduvi huyuHuyu katoka Bush huko Simiyu hajui Photo cell light...Kwamba iki sense inawaka
Na kwenye mabup wanefunga kamera sasa tukienda kuburudika wanatuchora tu,hadi tunakosa uhuru wa kushika huku😄😄 tunaibgia room kamera zinatusindikiza hadi noma.Ni kinyume cha sheria kumpiga mtu picha bila ridhaa yake! Labda kama kasogea kwenye eneo binafsi la nyumba ya mtu! Lakini mtu anapita njani au barabarani makamera yanapiga picha tutakuja kuzivunja hizo camera kwa mawe ya manati!