Kwanini mnawapangia wanawake ukomo wa umri wa kuolewa?

Values za me vs ke ziko top down with age. Tukibalehe wote value ya ke iko >100+% huku me ikiwa <0% Ila Sasa with time huyu anazidi ku gain value mwingine Aki lose value. Huu Ni ukweli hata akatae. Bila kwa hamu ya tendo la seex or ngonoo nadhani kwetu mie huwa >100% huwa appetite Ina decay with time. Huku nyie ikizidi kuongezeka. So inafikia muda unamuhitaji mwanaume yeye hamu haipo kivile.

Ukitaka kujua hili chukua kijana wa kiume wa 15yrs aliyebalehe na ambaye Yuko late 40 zile appetite Zina gradient kubwa with time.

Hii naweza nikakosolewa la hamu ya kusexx am not so sure but I take myself as sample space
 
Hizo ni fikra zako ulizozipa ukomo hapo si nature, fikiri nje ya box

Sasa kama kuna menopause Kwa nini wasipangiwe umri wa kuolewa?
Au haujui moja ya lengo la kuingia ndoani ni pamoja na kuzaa?

Hoja yako nzuri ni kuhusu Tabia Mbaya ya wanaume ambao wakikataliwa na Wanawake huwatishia Kwa kutumia kigezo cha umri wa kuolewa.

Ila Kwa Mwanamke umri na miaka ni kila Kitu. Iwe ni kwenye Ndoa, iwe kwenye siku zake, iwe kwenye Jambo lolote.
Mwanamke anakalenda Ila mwanaume Hana.
Hiyo ndio Sababu Wana time limit katika mambo Yao mengi
 
Kwahiyo we hutaki wajizolee Tu sababu ya pressure ya umri?
Lakini unakubali kuwa kuna kitu kinaitwa biology clock Kwa wanawake??

Hawa Watoto wa siku hizi wanachekeshaga Sana.
Alafu utashangaa ni Msomi kabisa wa ngazi ya shahada.

Yaani hajui kuwa Kwa Mwanamke muda ni Jambo muhimu kwake
 
Halafu mtu anasema watu waliomo JF ni majini? Daah, wabongo wengine hawana ubongo. Hongera kwa kutukata shule mkuu. Nimependa sana ulivoeleza...[emoji1374]
 
Mwanamke ambae hajaolewa hanatofauti na gari lisilo na matairi ..sijui umenielewa
 
Hongera pia kwa elimu hii...jamani waliomo JF ni watu na sio majini au wapumbavu kama wengine wanavyojaribu kuichafua JF. Alie na masikio, na asikie...
 
Pole sana kwa mawazo mgando, tatizo waafrika mnawaza ngono kila uchao ila elewa ndoa ni zaidi ya ngono kwa watu wenye umri wa utu uzima,
Wengi wanahitaji upendo, faraja, furaha na kuleana,

Subiri uzeeke ndio utaelewa kwa sasa ujana wakuzuzua.
Huo upendo unatoka wapi na watu hamjuani hamna history ya pamoja.
 
Kwanini wahenga waliweza kuishi na wake zaidi ya mmoja na wakaelewana kwa muda mrefu? Walifundwa.

Pitia uzi kwa kubofya hapo chini ujifunde kwa kina na upana zaidi kuhusu wanawake / wanaume 👇🏾

 
Kuna wengine wanataka wanaume Hadi wenye 75years old, imagine😭😭😭😭
 
mwanamme kwa asili ni mbinafsi, dikteta na kandamizi. Ili hayo yafanikiwe sasa hutumia strategy ya kumfanya mwanamke ajione asiyefaa kabisa, asiyestahili upendo huruma wala heshima, njia mojawapo ni kumsakama mwanamke sababu ya umri wake kumfanya awe vulnerable kwa mwanamme na hii itamfamya apatikane bila usumbufu kwa mwanamme.
 
Wadanganye
 
Kuoa na kuolewa kuna muda maalumu asikwambie mtu, jamii iliyostarabika inaoa na kuolewa kwenye early 20's sasa uoe au uolewe na miaka 40 uzae mtoto aje kufikia umri wako wa miaka 40 ww utakuwa na miaka mingapi? Hata wanawake wanahauriwa kuzaa mapema kipindi mayai yakiwa na rutuba ndo utapata watoto wenye akili, sasa unazaa na miaka 45 utatoa mtoto zezeta na asifundishika!

Wanasaikolojia wote wamegawa vipindi vya makuzi ya binadamu kuanzia tumboni mpaka kuzaliwa hadi kufa na kila stage ina mambo yake , ukivuka stage moja utaathiri stage nyingine kipindi cha miaka 30- 45 kila binadamu anatarajia kuwa tayari ana familia sasa familia uipate kwa miaka 70??
 
Pole sana kwa mawazo mgando, tatizo waafrika mnawaza ngono kila uchao ila elewa ndoa ni zaidi ya ngono kwa watu wenye umri wa utu uzima,
Wengi wanahitaji upendo, faraja, furaha na kuleana,

Subiri uzeeke ndio utaelewa kwa sasa ujana wakuzuzua.
Ukiolewa na Miaka 40 huzai unapata raha gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…