Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Values za me vs ke ziko top down with age. Tukibalehe wote value ya ke iko >100+% huku me ikiwa <0% Ila Sasa with time huyu anazidi ku gain value mwingine Aki lose value. Huu Ni ukweli hata akatae. Bila kwa hamu ya tendo la seex or ngonoo nadhani kwetu mie huwa >100% huwa appetite Ina decay with time. Huku nyie ikizidi kuongezeka. So inafikia muda unamuhitaji mwanaume yeye hamu haipo kivile.Habari yako mleta uzi. Kwanza naomba nikupe pole kwa kukasirishwa na jambo ambalo ni la ukweli.
Haifichiki na ipo wazi kabisa kuwa mwanamke ana muda mfupi sana wa kupoteza kwenye maisha tofauti na mwanaume especially kwenye swala la mahusiano na uzazi.
Unaweza kuwa na dhamira nzuri ya kuwatetea wasishambuliwe au kuumizwa na maneno ya mitandaoni au kwenye jamii ila ukweli huwa hautazami hizi.
Wewe ukiwa ni mwizi mimi nikakuita mwizi ukakasirika na kulalamika kuwa nakufanya ujisikie vibaya jua wewe ndie tatizo si mimi.
Kuna hiki kitu kwa wanawake kinaitwa biological Clock [emoji355],yaani saa ya kibaiolojia. Hii kitu huanza count down mara tu binti anapovunja ungo sio anapomaliza shule au chuo.
Hii biological Clock huwa inamzuia mtoto wa kike kuwa na luxury ya kujisubirisha kwenye mambo yake ya msingi kama kuolewa, kupata mtoto/watoto, na kujenga familia. Akicheza na age window yake yaani kuanzia siku kavunja ungo hadi uzee unapogonga hodi yaani kati ya miaka 35 hadi 40 ndio basi tena.
Mwanamke akifika umri huo kuna vitu vingi vitakinzana na uanamke wake. Vitu vyenyewe ni kama ifuatavyo.
Mwanamke akichelewa sana kuanza mahusiano serious ni ngumu sana kusitiri mwili wake sababu hatakuwa anadate serious atakuwa anachukua watu kwa vigezo nje ya vile vya ndoa anaweza akawa anachagua wanaume kwa vigezo kama kimo cha urefu wa mwili, rangi ya ngozi, utanashati, kiwango cha pesa, umiliki wa mali, aina ya kazi anafanya, etc sababu ambazo akishafikia umri wa kutaka kuanza kuwa serious hizo sababu hazitakuwa na maana tena maana zina uzito mdogo sana kwenye ujenzi wa mahusiano na familia bora. Hii inamaanisha mwanamke atajikuta anadate na watu todauti nyakati tofauti na kuwa na body count kubwa ya wanaume aliowahi wavulia nguo.
Umri unapozidi kwenye mwanamke anarisk kuwa na idadi ndogo ya watoto jambo ambalo linahusishwa na kansa ya matiti na mirija ya uzazi. Ndio maana on average kwasasa wanawake wanaochelewa sana huwa anaweza ishia watoto wawili au m'moja.
Umri unapokwenda muonekano wa mwanamke hukosa mvuto na kufifia. Mwanamke anakuwa na muonekano wa uzee ile hali idadi ya mabinti wanaozaliwa na kubalehe iliongezeka na hii humuweka mazingira magumu sana kumudu kuvutia wanaume tena. Hivi unaweza nunua gari ya mwaka 1980 kwa gharama kubwa na kuacha gari ta mwaka 2015 kwa gharama nzuri.
Mwanamke anavyozidi kuchelewa mahusiano serious anarisk kupata mwanaume atakae muelewa. Sababu kibailojia,kisosholojia na kisaikolojia, mwanaume hutakiwa kukaa miaka isiyopungua saba ili kuweza kukaa na mkewe na kumzoea kiasi kwamba iwe ngumu kutengana nae na wawe marafiki. Sasa mwanamke unakuja anza date na mwanaume unakutana nae ukiwa na miaka 38 huko, mara nyingi ni wanaume wenye changamoto zao ndio maana wapo available.
Mwanamke akishavuka miaka 35 huwa harekebishiki au kubadilishwa mwenendo. Ataigiza ili kuvutia mwanaume ila kama ana viburi, dharau, na changamoto zinginezo huyo hawezi kubadilika hata iweje ataigiza ila eventually atarejea kwenye character yake. Sio wote huwa wanafika umri huo wakiwa na tabia zisizopendeza ila possibility ya mwanamke mwenye mwenendo mzuri kufika umri huo bila ndoa na mahusiano serious ni ndogo sana. Wengi huwa wanakuwa wameshaolewa by age 24 hadi 25. Ukiona mwanamke upo above 30 ,usiumize kichwa wala kwenda kwa mwamposa, wewe ndie tatizo by 100% mimi sitakufariji nakwambia ukweli mchungu. Unaweza kushindwana na mwanaume m'moja that's okay, anaweza kuwa ni changamoto, wanaume 10 khaaaaaah wewe, yaani wewe tu ndie unaekosewa?!
Sidhani kama natakiwa kukumbusha kuhusu complications za uzazi endapo mwili wako haupo imara of which kwa maisha ya sasa wadada wengi wana lishe mbovu sana ambayo inaleta shida kwenye maswala ya uzazi so risks ni nyingi ukitazama kwa binti wa kisasa kuchelewa kuanza uzazi especially katika umri wa miaka 30 and above.
Pia nizungumzie swala la idadi ya wanaume wengi huharibu akili ya mtoto wa kike automatically ubongo wake utajiseti kuwamini kuwa kila baada ya muda fulani anatakiwa kuwa na mtu mpya sababu ndio mfumo kazoea wa kubadili so furaha yake inakuwa katika kulala na mwanaume mpya, ukikutana na mwanamke katika umri above 25 ameshalala na wanaume zaidi ya wawili hapo si mahala salama. Huyo mwanamke tayari anakuwa ameshakuwa Promiscuous yaani ni yale tunasema Maharage ya mbeya maji ni mara moja. Mwanamke ambaye amefurahia kuvulia nguo wanaume zaidi ya wawili, hatoshindwa kuvulia wengine pale atapoona haumpi anachotaka .
Ukitaka kujua hili chukua kijana wa kiume wa 15yrs aliyebalehe na ambaye Yuko late 40 zile appetite Zina gradient kubwa with time.
Hii naweza nikakosolewa la hamu ya kusexx am not so sure but I take myself as sample space