Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

[emoji23][emoji23]ungekoment ulichoelewa mkuu na mimi nimeelewa tofauti that's all na sio ugomvi
Figisu uliyotumia umetufanyia vurugu.. nikutakie heri ya mwaka mpya tu..😂
 
Mtu mwenye Virusi vya Ukimwi (VVU) anakuwa na uwezekano mdogo wa kuambukiza iwapo atakuwa anatumia dawa za kufubaza makali ya virusi (ARVs) vizuri na kwa muda mrefu.

Matumizi mazuri ya dawa hupelekea vizuri hata virusi kutoonekana katika vipimo (undetectable level)...

Nadhani hii ndo itakuwa sababu ya wewe kutoambukizwa.
 
Kwa Sababu hauugopi....hao HIV ndio wanakuogapa Sasa!
 
Huna akili
Nadhani ukitulia kidogo utamuelewa!! Ana hoja nzuri tu! Sometimes, only time will tell! Wanasema za mwizi ni arobaini! Anaweza akaiba sana na asikamatwe ila siku moja tu itabadilisha historia! Hata hivyo, Mungu ndiye ngome yetu! Ukiwa na Mungu utakula vya kufisha na hautakufa! Mungu kampa nafasi hiyo ya upendeleo kwa kusudi maalumu! Aendelee kumtumikia Mungu!
 
Picha ya cheti cha majibu.

Picha ya cheti cha ndoa.

Just anything to confirm you two are married na mke ni positive.
 
Sawa Mkuu nimekuelewa,lakini si mtumiaji kikamilifu maana hapo nyuma mama mtu alifanya siri hivyo hakuwa anatumia kikamilifu hata wakat naoa hakuwa anatumia kabisa,nilipokuja kujua katika kuchanganyikiwa kwangu niliwahi kumuacha kama mwaka nikaoa mtu mwingine,katika kpindi hiki alikiwa na stress sana na ndio hakuwa anatumia kabisa hata alifikia kutaman awahi kutangulia tu kuzimu.ni mengi sijayaandika ningejaza kurasa ila nilipoamua kumrudia ndio nilianza kumsimamia kikamilifu na tunaendeleza uzao.

Kwahiyo hii kutumia kikamilifu ni muda mchache sana
 
We subir ipo siku utapata unachokitaka mkuuu
Sawa mkuu hata nikipata si shida kwangu nafsi yangu iko sawa tu sioni kuwa nikiambiwa tayari nimepata labda nitashtuka zaid ya kutabasamu maana nimekubaliana na lolote lile kiroho safi.yaani ni powa tu
 
your case is bit different.... una bahati special
 
Kwa Sababu hauugopi....hao HIV ndio wanakuogapa Sasa!
UMENIFANYA NIMECHEKA KWA SAUTI KUBWA HAPA NILIPO,UMENITIA AIBU MAANA nmeONEKANA NACHEKA TU NA SIMU MPAKA NIKAULIZWA kulikoni bro! nikavunga aaah kuna katuni imenivunja mbavu huko fb,akaongeza hebu nami nione nikatia imu mfukoni maana hajui hii situation
 
Picha ya cheti cha majibu.

Picha ya cheti cha ndoa.

Just anything to confirm you two are married na mke ni positive.
mkuu baada ya kukupatia haya kuna ushauri gani ambao ungeutoa kutokana na hali husika niliyoielezea?mm nahitaji tujue hali hii inatokana na nini ili sote kwa pamoja tupate elimu,hebu nichukulie serious kwenye hili na useme neno ndgu yangu kuhusu lengo la post hii.
 
Picha kwanza za kuthibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…