Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

Nasikia kuna watu wa damu group O wana hiyo advantage unlike watu wa other blood groups kwa kuwa maumbile ya cell zao nyeupe za damu haziruhusu na hazina mazingira rafiki ya virus wa UKIMWI ku-exist.

Katika uumbaji wao wa white blood cell inqsemekana umbile la cell hizo nyeupe ni smooth cycle kama (duara jero ya sasa) wakati mazingira mazuri ya virus ni katika umbo la cell nyeupe za damu zenye umbo kama vile picha ya Amoeba (rough cycle shape) hivyo kufanya kuzaliana zaidi katika mazingira hayo. Na kwamba other blood groups wana cell ambazo ni rafiki kwa Virus kuzaliana na ku exist!

Maelezo yangu ni ya ki layman lkn nadhani yatakuwa wameeleweka. Naamini wataalam wa Anatomy watakuja na elimu zaidi.
 
ASANTE kwa mchango wako ndugu yangu acha tusubiri wataalam waje waseme kitu mwisho wa siku tujifunze mimi na wew na wengineo,lakini je haya magroup ya damu ukitaka kujua kama uko group gani na taarifa za group lako hospitali kuna vipimo vya kujua group lako na taarifa zake?kama vipo garama za vipimo hivo zikoje kama unafahamu Twilumba.
 
Subiri siku ya kuchubuka, damu kwa damu, utapata.
nimeeleza mbona kwenye post au imagine miaka yote hiyo bro na show zenyewe ndio hizi yani michubuko + mpaka ukioga unaumia sio michubuko tena ni vidonda sasa unauguza vikipona show show KWANINI MIMI SIPAT?

Na nikipima vpimo vikajipa kweli nimepata nitakuja kuandika hapa jukwaani ili tuzidi kujadili maana kwangu naona sawa tu
 
ila nataka madakatari waniambie mambo ya kitaalam zaid kuhusu afya inavyohusiana na hili, maana niliwauliza madaktar wengi huku mtaan kwetu ninakopima sema hawajanikataka kiu mara ooh tunashukuru vile ushirikiano wako ulivyo.mara ooh yaweza kuwa vile unavofanya ajiskie tu maisha yako kawaida Mungu ndio anakulinda .wengine ooh ohoo ooh hivi na vile,ila kitaalam na ushahidi haswa ndio shida sijapata.yaani ile kitu real ya kunikata kiu maana kwangu ni swali.

yaani nipate kitu cha kushika nami nimalize utata wa kukaa kujiuliza.
 
Itakua una mutation kwenye g120 !
dah umenifumba kabisa maana sijui kilugha cha english,hiyo g120 na mutation mm hata sielew kitu.fafanua mtu wangu ile chambua mambo na tia manyama nyama ya kiswahili mtu wangu
 
safi sana ndugu yangu kama una lolote unajua ongezea kushusha nondo ndugu yako hata nipate maarifa mawili matatu kaka mkubwa,maneno yako machache yanaweza kunipa mwanzo mpya kamanda wangu
peace and love bro.
 
Ningependa kujua group la damu yako.
hapo ndio sijui kitu ....najuaje?au nikapime hospital kule vipimo hivyo vipo?..bei je sio mambo ya pesa ndefu maana sina kitu ni kabwela fulani hivi.
 
hapo ndio sijui kitu ....najuaje?au nikapime hospital kule vipimo hivyo vipo?..bei je sio mambo ya pesa ndefu maana sina kitu ni kabwela fulani hivi.
Blood group test ni kipimo kirahisi kabisa kukipima, majibu ni dakika 2 - 5 tu. Bei ni rahisi sana buku tatu hadi tano hivi kwa maeneo mengi.

Vipimo vinapatikana maeneo karibia yote hata hizo maabara za mitaani, dispensary au vituo vya afya wengi wanapima.
 
Mkeo anatumia arv sasa viruzi vinakuwa vimelala na vimepungua kabisa siku akiacha tuu ndio siku utapata ila bado sio kila kirus kinachoingia mwilini kinaanza kuzaliana ..ni mpaka kikutane na t-cell
 
Nasikia lakini ety ukitoka kufanya sex kuna ule uchafu huwa unaingia kwenye tobo la uume ukikaa kwa muda mrefu na ukawa na mchubuko unaweza ukapata ndomana wengi baada ya kujamiiana wanaenda kukojoa ili kuua virus wanaokuwa kwenye hizo njia
Huo ni uongo hv unajua kuwa kirusi cha ukimwi ni kidogo sana hakionekani hata kwa microscope ya kawaida.
 
dah umenifumba kabisa maana sijui kilugha cha english,hiyo g120 na mutation mm hata sielew kitu.fafanua mtu wangu ile chambua mambo na tia manyama nyama ya kiswahili mtu wangu
Mutation ni mabadiliko ya vinasaba.

Kirusi cha HIV hujishikiza katika sehemu iitwayo g41 na g120 katika ukuaji wake(replication) kwahyo ikikuta seli ya binadamu(host) haina vishikizo hivyo je watajishikiza wapi?

Kama alivyosema Ndugu Kiranga juu hapo ni kweli Kenya watu waliokuwa na mutation walifayiwa majaribio na hawakupata HIV.

Kumbuka kuwa na mutation kuna faida na hasara pia vilevile.
 

Kama mke Ana HIV kweli; Kwa kitendo hicho cha kiungwana, may be Mungu kakujalia tu Kwa sababu hiyo; maana hicho Ni kitendo cha kiungwana Sana! All the best!

Ila show za kibabe Ma bla bla nyingine achana nazo; hazina maana; ubabe mzuri Kwa mwanamke uwe na hela; kitandani huo Ni wajibu na sio ubabe; mnajisifiaga ujinga.
 
Sasa tumjibu vipi jamani,maana swali lake gumu kweli😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…