Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Huu mwaka wa 20 mzee anajuta kuajiri ndugu ni wavivuNdugu wa kiafrica wameprove failure, hawaaminiki, wanafiki, wavivu na most of all walalamishi. Hii ni experience yangu mimi.
Siwezi thubutu kukaa na ndugu nina experience na matukio yao ingawa sitaki kuyasema hapaUtasikia;
1. Usikae na ndugu yako ni shida
2. Usiajiri ndugu utakuja kulia
3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi
Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi kushirikiana kwenye uzalishaji mali na kazi, hili ni tatizo kubwa sana.
Hebu tutoe maoni huku tukiangalia mifano ya biblia; Kaini na Abeli, Yacobo na Esao, Daudi na ndugu zake, Yusuph na ndugu zake, Isaka na Ishmail, Israel na Palestine.
Utasikia;

Kumbe majibu unayo.Huu mwaka wa 20 mzee anajuta kuajiri ndugu ni wavivu
Ujamaa ulimuua yesuUjamaa shari.
Ndugu ni lawama sana badala ya kuleta ufanisi katika kazi basi wanatumia kigezo cha undugu kufanya kazi ambapo matokeo yake ni mabaya sanaUtasikia;
1. Usikae na ndugu yako ni shida
2. Usiajiri ndugu utakuja kulia
3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi
Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi kushirikiana kwenye uzalishaji mali na kazi, hili ni tatizo kubwa sana.
Hebu tutoe maoni huku tukiangalia mifano ya biblia; Kaini na Abeli, Yacobo na Esao, Daudi na ndugu zake, Yusuph na ndugu zake, Isaka na Ishmail, Israel na Palestine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa unamchora tu sioKumbe majibu unayo.
Labda wa kuzaliwa tumbo Moja, sio mbayaUtasikia;
1. Usikae na ndugu yako ni shida
2. Usiajiri ndugu utakuja kulia
3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi
Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi kushirikiana kwenye uzalishaji mali na kazi, hili ni tatizo kubwa sana.
Hebu tutoe maoni huku tukiangalia mifano ya biblia; Kaini na Abeli, Yacobo na Esao, Daudi na ndugu zake, Yusuph na ndugu zake, Isaka na Ishmail, Israel na Palestine.
Sitaki ht kywasikia hao wa baba 1Ndugu tuliozaliwa tumbo moja tupo fresh sana ila hawa wa mama zangu wengine japo baba mmoja ila ukaribu hakuna kabisa japo hakuna ugomvi.
Imagine 🤷Waafrika wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri na uaminifu ni 0%. Nina mtu nimefahamiana naye mitandaoni tu anaishi canada amewekeza tanzania ana nyumba kibao za kupangisha na mimi ndio nasimamia miradi yake yote hata ndugu zake hawajui maana walishamfelisha wayback na sasa ndugu yao kawekeza africa na anayesimamia ni mtu baki hatukuwahi kujuana kabla.
Hilo nalo ni tatizo sana maana kuna uwezekano mkubwa wa uaminifu huo kupotea kwa muda mfupi tu....Nina experience na Hilo jambo yupo jamaa amekosa nyumba kabisa kumwamini mtu baki bila ndugu kujuaWaafrika wengi wana uwezo mdogo wa kufikiri na uaminifu ni 0%. Nina mtu nimefahamiana naye mitandaoni tu anaishi canada amewekeza tanzania ana nyumba kibao za kupangisha na mimi ndio nasimamia miradi yake yote hata ndugu zake hawajui maana walishamfelisha wayback na sasa ndugu yao kawekeza africa na anayesimamia ni mtu baki hatukuwahi kujuana kabla.