scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
Ndugu hawahawa?
Bora kuwasaidia hukohuko vinginevyo ni kutafutiana lawama
Bora kuwasaidia hukohuko vinginevyo ni kutafutiana lawama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamama wana sambaza mabifu yao ya kuchukuliana bwana kwa watoto🤣🤣🤣🤣🤣Sitaki ht kywasikia hao wa baba 1
Ushenzi mwingi
Kwa hiyoUtasikia;
1. Usikae na ndugu yako ni shida
2. Usiajiri ndugu utakuja kulia
3. Ndugu ni wa kukaa nao mbali na nyingine nyingi
Nafikiri umoja kwa familia na undugu wa damu ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii zetu. Tusitegemee kupata maendeleo kama taifa endapo jamii hasa ndugu hawawezi kushirikiana kwenye uzalishaji mali na kazi, hili ni tatizo kubwa sana.
Hebu tutoe maoni huku tukiangalia mifano ya biblia; Kaini na Abeli, Yacobo na Esao, Daudi na ndugu zake, Yusuph na ndugu zake, Isaka na Ishmail, Israel na Palestine.
Pole tupo wengi mkuuCntasahau nilivyojitolea kwa nguvu kubwa kusaidia watu wa familia na kilichokuja kutokea. Ni Siri yangu japo Mungu amenilipa kwa namna ya ajabu.
Timua hakuna namnaNapenda sana kuishi na ndugu na toka mwanzo nilikuwa nasema hivyo kabla sijaoa
Ila ajabu hao ndugu/watoto wa ndugu ambao naishi nao wamekuwa kiburi na hata akielekezwa kazi na wife wanakuwa na dharau za wazi nimeshuhudia akimjibu hovyo wakati huo hakujua kama nipo mpaka unakuta mke analia.
Tofauti na nilivyotarajia ndugu wakati mwingine changamoto kuishi nao japo sio wote
NB: Naishi na watoto wa ndugu watatu ila mmoja namtimua muda sio mrefu na najua ndugu wataongea sana maana nimemuonya mara kadhaa ila amekataa kubadilika
Kabisa na nimejiandaa kwa lawama kutoka kwa nduguTimua hakuna namna
Alikuja ndugu (mtoto wa dada) toka mkoa.Kabisa na nimejiandaa kwa lawama kutoka kwa ndugu
sina tamaa kabisa bro huu mwaka wa saba sasa nasimamia mali zake nilishakaa na milioni 150 zake miezi sita sikuchukua hata senti, narudia tena waafrica wengi uaminifu 0%Hilo nalo ni tatizo sana maana kuna uwezekano mkubwa wa uaminifu huo kupotea kwa muda mfupi tu....Nina experience na Hilo jambo yupo jamaa amekosa nyumba kabisa kumwamini mtu baki bila ndugu kujua
Naunga mkono hojandugu ni washenzi kataa ndugu.........ndugu hata humsaidie vp huyo ndio wa kwanza kukusema kwa ubaya
Utasikia;