Kwanini mtaani kuna dhana mbaya kuhusu ndugu?

Kwanini mtaani kuna dhana mbaya kuhusu ndugu?

Sijajua kwenu ila jamii na watu niliokaa nao kazi zao wanafanya na ndgu kwa ila wana mafanikio makubwa sana.

Father mdogo kaajiri ndugu wa mke wake kwa sana ila biashara zake zipo mbali ,amepata mafanikio ya juu sana hata hao ndugu zake wengi wamapeta mitaji kupitia biashara zake ...Yeye binafsi kafika mbali zaidi hata wafanyakzi wake wapo mbali ila wote ni ndugu ...Hao ndio wasambaa wa Lushoto huko kwingine sijajua hata nikikupa mfano wa shehoza pale Tanga karibia 99% wafanyakazi wake ni ndugu zake.
 
Ujamaa ulimuua yesu

Bahati mbaya sana huu ndio mtihani wetu halisi kwenye hii ardhi, Upendo wenye upofu na ukiziwi. Upendo husio na mipaka. Upendo wenye kuumba. Upendo wenye kuua. Unconditional Love!

Ni wangapi kati yetu wanaumudu?!
 
Ndugu ni ndugu, ni damu yako ni lazima umuinue ukiwa na uwezo whali na mali.
Kwa hiyo ni muhimu ili undugu uendelee na kuimarika umuwekee mipaka ambayo haitavuruga undugu
Mfano kumuajiri pima kwanza uwezo wake kama ana sifa za uchapa kazi na mpe jukumu analoweza la sivyo usimsogeze sababu ukimtimua kazini undugu uta athirika.
 
Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake...

Ikiwa na maana ndugu yako ndio adui yako maana anakujua sana.

Mtu asiyekujua hawezi kukudhuru.
Ndugu wanaweza kuwa vizuri tu , ila kila mmoja akisha oa mambo yanabadilika ,sijui kwa nini[emoji848][emoji848]
 
Sitaki ht kywasikia hao wa baba 1
Ushenzi mwingi

Turudi katikati kabisa, wote kwa ujumla wetu, sisi na hao ndugu wote.

Kama kweli ndugu wa kuzaliwa tumbo moja basi kuna characteristics nyingi tu tutakua tunafanana na pia baadhi ya mambo ama jambo ndio vikawa ndio uniquenesses zetu zinazotutofautisha Kama binaadam kamili (individualism).

Maana yake ni kwamba kuna mabaya yao mengi sana hawa ndugu zetu tutakua tunafanana nao kwa kiasi fulani hata Kama sio asilimia 100. Na hapo ndipo mtihani halisi ulipo.

Tufanye nini kuushinda huu mtihani wa utengamano na mifarakano kati yetu ili tuweze kusimama upya kwa umoja wetu?!

Maana hata sisi kuna watu hawapendi hayo madhaifu/mapungufu yetu na tunawakwaza kwa kujua ama kutokujua.

Na pengine sisi pia tunachangia kwa kiasi kikubwa katika wao ndugu zetu kuleta matatizo?

Pure Unity is the rarest of all gems, it’s the hardest to achieve but when you do, it’s priceless.
 
Mkuu km mie ,Nina shemeji yangu amejaribu kurudisha haya mahusiano ila ni tumegundua shida ni ndugu yetu
Unafiki wa kutosha
Ye anataka ndo aonekane mzuri Kwa Mzee etc
Mengine sitaki kuongea!

Aah bana we acha Kila mmoja Aishi maisha yake
 
Bahati mbaya sana huu ndio mtihani wetu halisi kwenye hii ardhi, Upendo wenye upofu na ukiziwi. Upendo husio na mipaka. Upendo wenye kuumba. Upendo wenye kuua. Unconditional Love!

Ni wangapi kati yetu wanaumudu?!
Mimi sina upendo huo mana hata hao ndugu hawana upendo huo kwangu.

Kwahiyo chaguo ni langu nini nataka
Ila sina upendo kabisa kwa changu sababu siwezi nikavuka mipaka.

Upendo ni nini hata sielewi
Mzazi ni nani mana usipompa pesa hakuelewi.
 
Uaminifu kwa MTU mweusi ni 0.0% hivyo hii inapelekea kupoteza undugu na kuangalia MTU yeyote ambaye atavaa vazi la uaminifu.
 
Back
Top Bottom