Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ndugu wa kiafrica wameprove failure, hawaaminiki, wanafiki, wavivu na most of all walalamishi. Hii ni experience yangu mimi.
Ujamaa ulimuua yesu
Ndugu tuliozaliwa tumbo moja tupo fresh sana ila hawa wa mama zangu wengine japo baba mmoja ila ukaribu hakuna kabisa japo hakuna ugomvi.
Ndugu wanaweza kuwa vizuri tu , ila kila mmoja akisha oa mambo yanabadilika ,sijui kwa nini[emoji848][emoji848]Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake...
Ikiwa na maana ndugu yako ndio adui yako maana anakujua sana.
Mtu asiyekujua hawezi kukudhuru.
Ni kwel kbisa japo ndoa ya mke mmoja ni ngumu kutekelezeka .Mzizi mmoja wapo wa tatizo hili, ndoa za mitala.
Sitaki ht kywasikia hao wa baba 1
Ushenzi mwingi
Yeah kama hayapo yaja
Mkuu km mie ,Nina shemeji yangu amejaribu kurudisha haya mahusiano ila ni tumegundua shida ni ndugu yetuTurudi katikati kabisa, wote kwa ujumla wetu, sisi na hao ndugu wote.
Kama kweli ndugu wa kuzaliwa tumbo moja basi kuna characteristics nyingi tu tutakua tunafanana na pia baadhi ya mambo ama jambo ndio vikawa ndio uniquenesses zetu zinazotutofautisha Kama binaadam kamili (individualism).
Maana yake ni kwamba kuna mabaya yao mengi sana hawa ndugu zetu tutakua tunafanana nao kwa kiasi fulani hata Kama sio asilimia 100. Na hapo ndipo mtihani halisi ulipo.
Tufanye nini kuushinda huu mtihani wa utengamano na mifarakano kati yetu ili tuweze kusimama upya kwa umoja wetu?!
Maana hata sisi kuna watu hawapendi hayo madhaifu/mapungufu yetu na tunawakwaza kwa kujua ama kutokujua.
Na pengine sisi pia tunachangia kwa kiasi kikubwa katika wao ndugu zetu kuleta matatizo?
Pure Unity is the rarest of all gems, it’s the hardest to achieve but when you do, it’s priceless.
Aisee....changamoto sanaAlikuja ndugu (mtoto wa dada) toka mkoa.
Ndani ya mwezi mmoja tu akapigwa MIMBA , naona aliishobokea dar .
Sasa kusolve na kuliweka sawa mwisho limeleta lawama sana.
Mimi sina upendo huo mana hata hao ndugu hawana upendo huo kwangu.Bahati mbaya sana huu ndio mtihani wetu halisi kwenye hii ardhi, Upendo wenye upofu na ukiziwi. Upendo husio na mipaka. Upendo wenye kuumba. Upendo wenye kuua. Unconditional Love!
Ni wangapi kati yetu wanaumudu?!