Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

Sio Kweli...! Kama Uliwahi kumwona mlevi aliyezima... huyo Alikuwa ana njaa hajala...!
Muwe mnawashauri Kabla ya kupiga Vyombo msosi muhimu.
Shauri yako sasa siku kunywa pombe nenda chooni huku nyuma wakuchanganyie na mkojo uone balaa lake. Bora uwekewe ugoro kuliko mkojo
 
Na wanasema hiyo ni mbaya sana ukimzidishia anaweza kupotea kabisa.
 
Dunia haiishiwi vituko khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi naskia wanachanganya pia na ule unga unaotoka ukiwa unakwangua vocha. Msijaribu mnaeza mkauwa watu!
 
Back
Top Bottom