Kwanini mtu akiwekewa mkojo kwenye bia anazima?

Kwahiyo hizo porojo zote ni Kwamba unataka tujuwe unakunywa Heineken na siyo bia?

Sipati picha kama ungekuwa unakunywa Esperado, Budweiser, Callsberg, Amstel au Scotch whisky.

Ila umesahau kuturingishia aina ya gari unavyotumia, maana ingekuwa Prado pia ungeandika hapa, ila kwakuwa ni baby walker basi hutaki tujuwe?
Ume mstukia huyu ni muongo, hio tishu mm nimesha weka sanaa miaka ya nyuma enzi za kikwete bia bwereree, ilikua ni HV, km ukiona glass ina kata km imetumika na pombe kali ss wengine tulikua tuna chovyea tishuu class inakua fresh km mpya vile, na nilikua nakata maji balaa na haina kuzima na ilikua kawaida yangu kbs,ila kwasasa sa'bu hv vichupa vidogo glass siitumii asilani,labda nikiwa nagonga vikali.......hebu atuache bhanaa na misifa isio na mpango
 
vijana wa kibongo mmeaminishwa mtu akitaja vitu usivyo na uwezo navyo basi ni uongo
 
Kwahiyo hizo porojo zote ni Kwamba unataka tujuwe unakunywa Heineken na siyo bia?

Sipati picha kama ungekuwa unakunywa Esperado, Budweiser, Callsberg, Amstel au Scotch whisky.

Ila umesahau kuturingishia aina ya gari unavyotumia, maana ingekuwa Prado pia ungeandika hapa, ila kwakuwa ni baby walker basi hutaki tujuwe?
yaaan vijana wa bongo wapuuzi sana, hoja ya msingi umeacha umekimbilia kuumwa roho kwa vitu vilivyo nje ya uwezo wako. Usihofu fanya kazi utapata, maana sikuhiz kunywa imported beer na kuwa na gari sio big deal as you think bitch
 
Ume mstukia huyu ni muongo, hio tishu mm nimesha weka sanaa miaka ya nyuma enzi za kikwete bia bwereree, ilikua ni HV, km ukiona glass ina kata km imetumika na pombe kali ss wengine tulikua tuna chovyea tishuu class inakua fresh km mpya vile, na nilikua nakata maji balaa na haina kuzima na ilikua kawaida yangu kbs,ila kwasasa sa'bu hv vichupa vidogo glass siitumii asilani,labda nikiwa nagonga vikali.......hebu atuache bhanaa na misifa isio na mpango
Kwa wanywaji bia tissue inasaidia kuleta povu kwenye glasi na kuipata taste halisi ya lager na so vinginevyo.

Hilo bwege ni jinga kabisa ye anaona Heineken ni ujanja wakati wengine wanazikimbia harufu.
 
Shauri yako sasa siku kunywa pombe nenda chooni huku nyuma wakuchanganyie na mkojo uone balaa lake. Bora uwekewe ugoro kuliko mkojo
Kwa hiyo inataka kuniambia nisinunue tena vidonge vya usingizi ?yaani napiga gambe then napiga nusu Lita ya kojo naamka jumanne?
 
Kwahiyo hizo porojo zote ni Kwamba unataka tujuwe unakunywa Heineken na siyo bia?

Sipati picha kama ungekuwa unakunywa Esperado, Budweiser, Callsberg, Amstel au Scotch whisky.

Ila umesahau kuturingishia aina ya gari unavyotumia, maana ingekuwa Prado pia ungeandika hapa, ila kwakuwa ni baby walker basi hutaki tujuwe?
Umaskini ni Jambo Baya sana boss tafuta kazi umaskini ni laana kila kitu ukiambiwa utaona ni uwongo
 
Kwahiyo hizo porojo zote ni Kwamba unataka tujuwe unakunywa Heineken na siyo bia?

Sipati picha kama ungekuwa unakunywa Esperado, Budweiser, Callsberg, Amstel au Scotch whisky.

Ila umesahau kuturingishia aina ya gari unavyotumia, maana ingekuwa Prado pia ungeandika hapa, ila kwakuwa ni baby walker basi hutaki tujuwe?
na wewe hizo ulizotaja inaonekana ni kwa uwezo wa GOOGLE tu...hata huzijui
 
Back
Top Bottom