Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,409
Reaction score
2,263
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
 
Hahaaaaa nashangaa sana kuona watu na akili zao [emoji848] na digrii zao [emoji848] eti kuna amani kaburini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Acha tuanze na wewe Ikitotanzila R. I. P ndugu yetu, so sad. [emoji24][emoji24]
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Kwahiyo unataka kumuua mtu kabla hajafa? RIP ni kwa wafu sio wazima.. Ni sawa na umwambie mtu alale salama kabla hakujachwa
 
Basi tuwe tunasema let him/her rest in peace ili kuwa na matumizi sahihi ya lugha
 
Tuko na Imani kwamba aliyekufa kayaanza maisha mapya ya amani, na anayaona tuyafanyayo na anasikia tuyasemayo!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
RIP kimsingi ni dua ambayo haambiwi aliyefariki ingawa imekaa ktk nafsi ya 2, ila inakusudiwa kwenda kwa Mola wake ampumzishe kwa amani.
 
Matumizi ya kuberi nje ya masharti ya kijiwe
 
RIP kimsingi ni dua ambayo haambiwi aliyefariki ingawa imekaa ktk nafsi ya 2, ila inakusudiwa kwenda kwa Mola wake ampumzishe kwa amani.
Mola halazimishi Wala hali rushwa na hahongwi. R.I.P imekaa kihongo hongo hivi.
 
Kwahiyo unataka kumuua mtu kabla hajafa? RIP ni kwa wafu sio wazima.. Ni sawa na umwambie mtu alale salama kabla hakujachwa
Kapigika maisha Hugo anataka mirathi

Hiyo no sala au dua anaombea mgonjwa andoke

Mgonjwa huombewa dua ya kupona sio kufa
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Basi usipate shaka, Rest In Peace or pieces 😂😂
 
Back
Top Bottom