Kwanini mtu asiambiwe R.I. P kabla hajafa au wakati anakaribia kufa ili yeye mwenyewe asikie?

Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Hii mada so ya siasa acha bange!kukusaidia...
Labda kama unachangamsha tuu genge... Kusema hivyo ni kumuombea heri huko aendako!
Huwezi jua hakika kuwa mtu anaelekea kufa mpaka umuage kabla hajafa ila ni Mola pekee ndiye ajuae!!!
 
R.I.P IKITOTANZILA JF TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI HIIIIIIÌIIIIIIII😭😭😭😭😭 IKITOTANZILA KWAHERI YA KUONANA.
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?

Mimi naomba nikutakie mapema mapumziko mema mara tu baada ya kifo chako. Umeongea point muhimu sana. Hivyo nisingependa kuonekana mnafiki. Rest in peace Comrade when you die!
 
Kuna mtu hajafikiria vizuri halafu kaanzisha uzi...
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Mkuu, Huyo unaetaka kumpa RIP si bado yuko mzima??? Wahi ukampe mapema..usije ukajilaumu baadae....
 
Atarest in peace mwenyewe Kwa wakati wake.

Unajua ugonjwa unavyompaga mgonjwa distress?

Ugonjwa hauzoeleki, anakuwa na hali flani ya hofu afu sasa uje umwambie Rest in Peace.

Unadhani atajisikiaje?
 
Hakuna neno, pindi wakigundua unakaribia kufa utaambiwa RIP...

Alafu sasa ole wako usife kweli baada ya kuambiwa RIP...
 
Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!

Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?

Hakuna mtu anajua mtu anakufa, rip Ni Kwa ajili ya mtu aliyekufa ! Huoni is watu watakuwa wanaua watu Kwa kauli?
 
Kwa kuwa hatujui Nani atatangulia. Labda sasa iwe Kama salamu tu. Mtu akikupa R. I. P, umjibu na kwako pia au kwa mipango ya Mungu. Kifo hakina kanuni nani atangulie, kuna watu wamezika wajukuu,
 
Back
Top Bottom