kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Hii mada so ya siasa acha bange!kukusaidia...Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Labda kama unachangamsha tuu genge... Kusema hivyo ni kumuombea heri huko aendako!
Huwezi jua hakika kuwa mtu anaelekea kufa mpaka umuage kabla hajafa ila ni Mola pekee ndiye ajuae!!!