Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Hahaaaaa nashangaa sana kuona watu na akili zao [emoji848] na digrii zao [emoji848] eti kuna amani kaburini [emoji23][emoji23][emoji23]Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Acha tuanze na wewe Ikitotanzila R. I. P ndugu yetu, so sad. [emoji24][emoji24]Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Kwahiyo unataka kumuua mtu kabla hajafa? RIP ni kwa wafu sio wazima.. Ni sawa na umwambie mtu alale salama kabla hakujachwaHuwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Basi tuwe tunasema let him/her rest in peace ili kuwa na matumizi sahihi ya lughaKwahiyo unataka kumuua mtu kabla hajafa? RIP ni kwa wafu sio wazima.. Ni sawa na umwambie mtu alale salama kabla hakujachwa
RIP kimsingi ni dua ambayo haambiwi aliyefariki ingawa imekaa ktk nafsi ya 2, ila inakusudiwa kwenda kwa Mola wake ampumzishe kwa amani.Huwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Matumizi ya kuberi nje ya masharti ya kijiweHuwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Mola halazimishi Wala hali rushwa na hahongwi. R.I.P imekaa kihongo hongo hivi.RIP kimsingi ni dua ambayo haambiwi aliyefariki ingawa imekaa ktk nafsi ya 2, ila inakusudiwa kwenda kwa Mola wake ampumzishe kwa amani.
Kapigika maisha Hugo anataka mirathiKwahiyo unataka kumuua mtu kabla hajafa? RIP ni kwa wafu sio wazima.. Ni sawa na umwambie mtu alale salama kabla hakujachwa
Basi usipate shaka, Rest In Peace or pieces ππHuwa inanishangaza Sana unakuta mtu kafa, R.I.P zinamiminika Sasa sijui azipokee nani wakati mhusika hayukpo!!
Nadhani hiyo rest in peace angepewa yeye mwenyewe na akasema thank you. Sasa mnatakaga nani ampokelee wakati yeye hayupo?
Mmh hapana hii Kuna harufu ya kachaso RIP mwenyewe na nduguyo mleta madaR.I.P wana jf wote
Mmh ..! HaayaBasi tuwe tunasema let him/her rest in peace ili kuwa na matumizi sahihi ya lugha