Kwanini mtu kama mzazi wako yupo juu Serikalini, Waziri au Katibu Mkuu watu wanasema umepata kazi kwa ajili ya connection

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,892
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.

Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa Waziri Mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
 
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.

Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa waziri mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
Acha mbwembwe jombaa,ukisimama wewe na watoto wa Kikwete,Mkapa,Mwinyi,au Majariwa,au Samia,harafu wote mnaomba kazi UN,wenzio wana chance kubwa ya kupata hiyo kazi,kutokana na wazazi wao,huo ndio ukweli mchungu!

Huwezi kuwa Mkubwa serikalini,harafu mwanao anatafuta ajira,uache kuwa "involved "don't be naive
 
Acha mbwembwe jombaa,ukisimama wewe na watoto wa Kikwete,Mkapa,Mwinyi,au Majariwa,au Samia,harafu wote mnaomba kazi UN,wenzio wana chance kubwa ya kupata hiyo kazi,kutokana na wazazi wao,huo ndio ukweli mchungu!!! Huwezi kuwa Mkubwa serikalini,harafu mwanao anatafuta ajira,uache kuwa "involved "don't be naive
Na kazi za Tz kwenye high levels ni za koo zile zile toka miaka ya 1970, na nahisi itaendelea hivo hivo, wewe kajamba nani ukibahatisha ukapenya unapigwa figisu unaondolewa ili majina uliyoyazoea masikioni yatimbe pale
 
Acha mbwembwe jombaa,ukisimama wewe na watoto wa Kikwete,Mkapa,Mwinyi,au Majariwa,au Samia,harafu wote mnaomba kazi UN,wenzio wana chance kubwa ya kupata hiyo kazi,kutokana na wazazi wao,huo ndio ukweli mchungu!!!
Huwezi kuwa Mkubwa serikalini,harafu mwanao anatafuta ajira,uache kuwa "involved "don't be naive
Absolutely naive and imbecile !!!!
 
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.

Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa waziri mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.

Mbona umetolea kamfano kamoja tu sasa!
Utakuwa ni kati ya hao wanufaika wa huu mfumo mbovu wa kupeana ajira kwa upendeleo na kujuana bila shaka! Hivyo umekuja kujikosha.
 
Kwani watoto wa wazazi wengine hawana akili? Au kwa vile baba yao alishika nyadhifa mbalimbali basi automatically watoto wake wana akili? Ni watoto wa nani wasiokuwa na akili?
Mfano mkubwa Dr. Mwele, Kwa kweli watoto wa Mzee Malecela wana Akili. Sasa nimechoka kwa watu kusema mtu Huyu kapata Hii kazi kwa ajili ya mzee.

Sasa Hivi head lines zote za Dr. Mwele ni mtoto aliyekuwa waziri mkuu. Dr. Mwele was bigger than her own father, she was not a politician.
 
Hata interview ya TRA ya mwaka Jana, kulikuwa na mtoto wa Prof Kabudi na Mtoto wa Jaji Mwangesi, na Watoto wa vigogo wengi, matokeo yake mtihani ukavuja interview ikaahirishwa, ww unadhani waliovujishiwa mtihani kina nani? je ni Watoto wa Masikini au Watoto wa Vigogo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mambo yako wazi kabisa.
 
kuna watu mpaka wana masters na ajira hawana, unazani mtu kama huyu baba yake au mama yake angekuwa kasim majaliwa, samiah suluhu au kikwete, angeendelea kuangaika mpaka leo hii mtaani bila ajira?
 
HV hata km n ww mleta mada upo kwenye nafac yakumweka mtt wako ungeacha kumwekaa ???
 
Acha mbwembwe jombaa,ukisimama wewe na watoto wa Kikwete,Mkapa,Mwinyi,au Majariwa,au Samia,harafu wote mnaomba kazi UN,wenzio wana chance kubwa ya kupata hiyo kazi,kutokana na wazazi wao,huo ndio ukweli mchungu!

Huwezi kuwa Mkubwa serikalini,harafu mwanao anatafuta ajira,uache kuwa "involved "don't be naive
Wapo exceptional,Mtoto mmoja wa Nyerere alikaa kazi baada ya kugundua ile kazi anatakankupewa kwa sababu ya Jina la Baba yake.
 
Back
Top Bottom