Kuna mfumo wa Proprioception. Hii ni "sensa" ya ndani ya mwili wako. Ubongo unajua viungo vyako vilipo bila wewe kuangalia. Sensa hizi hupima shinikizo la godoro mwilini mwako. Ubongo unatambua umbali uliobaki kabla ya kufika ukingoniExperience matters
Watoto huanguka kwa sababu hawana experience na bado mwili unajifunza mambo mapya ya duniani.
Haya ni maelezo kwa mrengo mwepesi usio na misamiati ya vitabuni na kukariri madesa. Hata ngumnaru ukuimweleza hivi anaelewa
Wewe uko kwenye lile kundi ambalo huwa mnaamka kutoka usingizini halafu hamjui kama mmeamka.mbona mi nikilala pembezoni mwa kitanda lazima nidondoke mara nyingi nalala upande wa ukutani
Ubongo wako ni zero Mbmbona mi nikilala pembezoni mwa kitanda lazima nidondoke mara nyingi nalala upande wa ukutani
Hiyo inaitwa somnambulism, commonly known as sleepwalking, is a parasomnia in which a person gets up and performs complex actions—like walking, talking, or eating—while in a state of deep, non-REM sleepWewe uko kwenye lile kundi ambalo huwa mnaamka kutoka usingizini halafu hamjui kama mmeamka.
Absolutely. Ubongo Hauzimi Kabisa. Sehemu ya ubongo inayoitwa thalamus huendelea kuchuja taarifa za mazingira. Ukisogea karibu na ukingo, ubongo unapokea ishara ya mabadiliko ya shinikizo. Ubongo unakutuma ujigeuze kurudi katikati bila wewe kuamkaUbongo wako ni zero Mb
Kwa hiyo kufa ni zaidi ya kulala usingizi mzito kama wengine walivyokuwa wanasema.Absolutely. Ubongo Hauzimi Kabisa. Sehemu ya ubongo inayoitwa thalamus huendelea kuchuja taarifa za mazingira. Ukisogea karibu na ukingo, ubongo unapokea ishara ya mabadiliko ya shinikizo. Ubongo unakutuma ujigeuze kurudi katikati bila wewe kuamka
Possibly but not really. Kupooza kwa Misuli (REM Atonia)Unapokuwa kwenye hatua ya ndoto nzito (REM sleep), ubongo hulegeza misuli mikubwa. Hali hii inakuzuia usianze kurusha mikono au miguu kufuatisha ndoto unayoota. Inakufanya utulie tuli sehemu moja na kuepuka kujirusha chini.Kwa hiyo kufa ni zaidi ya kulala usingizi mzito kama wengine walivyokuwa wanasema.
haujakoseaUbongo wako ni zero Mb
duhWewe uko kwenye lile kundi ambalo huwa mnaamka kutoka usingizini halafu hamjui kama mmeamka.
ChaiJe umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!!
Jibu hili hapa!!
Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception unasaidia ubongo kutambua nafasi ya mwili na mipaka ya kitanda kupitia shinikizo la godoro. Ukikaribia ukingoni, ubongo unatambua hatari na kukugeuza upande salama bila wewe kuamka.
Pia, wakati wa ndoto nzito, ubongo hupooza misuli kwa muda (REM atonia) ili kukuzuia usiruse viungo na kuanguka. Hii ni tabia ambayo ubongo wa mtu mzima umejifunza na kuikariri tangu utotoni, tofauti na watoto wadogo ambao mifumo yao bado haijakomaa na huanguka mara kwa mara.
kisayansi, hii husababishwa na nini?Wewe uko kwenye lile kundi ambalo huwa mnaamka kutoka usingizini halafu hamjui kama mmeamka.
Post no.10 ameelezeakisayansi, hii husababishwa na nini?