secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Hahaha 😂Mkuu unenichekesha sana niko kwenye Mwendokasi hapa, mpaka wamenishangaa
Hahaha 😂Mkuu unenichekesha sana niko kwenye Mwendokasi hapa, mpaka wamenishangaa
Mbona vitanda vya boarding Double Deka wameweka ukingo wa kuzuia mtu kudondoka?
View attachment 3630852
Ni kweli sayansi haidanganyi ila watu wanaweza kudanganya au kufanya makosa kwenye nadharia zao za kisayansi.Sayansi haidanganyi. Ikisema 2× 2 = 4 itabakia ni 4 hata kama utabisha mpaka ahera
jichunguze mkuu mimi hata nilale tubnane nilale pembezoni siwezi kuangukambona mi nikilala pembezoni mwa kitanda lazima nidondoke mara nyingi nalala upande wa ukutani
Hupigi chafya usingizini kwa sababu ubongo hupooza misuli ya kifua na tumbo (REM atonia), inayohitajika kusukuma chafya. Pia, neva za puani zinazotambua muwasho zinakuwa zimezizima. Muwasho ukiwa mkubwa, ubongo utakustua na utaamka kwanza, ndipo upige chafya ukiwa macho.Naunga mkono hoja, nina swali jingine je kwanini mtu hapigi chafya akiwa usingizini?
Na kwa sisi walevi vipHahaha 😂
Mlevi haanguki hata akiwa amelala juu ya mti bwashee.Na kwa sisi walevi vip
Kingo huwekwa kwa sababu uchovu mwingi wa bwenini huingiza wanafunzi kwenye usingizi mzito sana, unaozorotesha ulinzi wa ubongo. Pia, kuanguka kutoka kitanda cha ghorofa kuna hatari ya majeraha makubwa. Kingo hizo ni bima ya usalama kwa sababu ubongo wa vijana bado haujakomaa kikamilifu kukariri mipaka ya kulalaMbona vitanda vya boarding Double Deka wameweka ukingo wa kuzuia mtu kudondoka?
View attachment 3630852
Na anayumba hatariMlevi haanguki hata akiwa amelala juu ya mti bwashee.
Ubongo wa binadamu ukiwa mtini hauingii usingizi mzito. Sensa za proprioception na ngozi zinakariri umbo la panda la mti, zikitambua mabadiliko ya usawa na kumstua mtu kabla hajanguka chiniNa mimi ninaelala juu ya miti kwa kujipachika kwenyepanda na unaota umelala kwenye godoro zuri kumbe upo kwenye mti, na hatuanguki je ubongo wetu umewekaje mipaka kwenye huo mti
Bweni la kwanza kabisa Rungwe mbele yake kulikuwa na Kontena 😛 😛 .Mmenye umekumbuka vitanda vya Rungwe au Oldonyo?
Kule kuyumba kwake ndiko kunawafanya walokole waamini kuwa ataanguka muda si mrefu.Na anayumba hatari
Walokole ndio walevi, Walokole wanaanguka kanisani kila siku , wanadai ni mapepo kumbe ni visungura wanavyokunywa kwa kujifichaKule kuyumba kwake ndiko kunawafanya walokole waamini kuwa ataanguka muda si mrefu.
Sema wale jamaa kweli dishi zimeyumba. Utasikia katoliki thi, katoliki that.Walokole ndio walevi, Walokole wanaanguka kanisani kila siku , wanadai ni mapepo kumbe ni visungura wanavyokunywa kwa kujificha
Viazi sanaSema wale jamaa kweli dishi zimeyumba. Utasikia katoliki thi, katoliki that.
Wanaona gere wakatoliki wanavyopombeka bila kujificha.