Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

MABATI YA SUNBAK TANZANIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
217
Reaction score
577
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time

Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .

Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food

Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa kufikiri kila kitu kipo juu .

Kutoa sperms ni hatari Sana kwa ustawi wa mwonekano wako na Maisha.
 
Kuna mashimo hayachunguliwi unaweza kupata upofu ndio maana yamefichwa
 
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time

Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .

Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food

Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa kufikiri kila kitu kipo juu .

Kutoa sperms ni hatari Sana kwa ustawi wa mwonekano wako na Maisha.
acha habar zako izo za kubumbwa mbona wacheza ngono wana sura nzur mfano mia khalifa mzur kulko dada ako ambae achez ngono nuru uson iashabihiana na kipato chako huna hela ya kwenda salun ufany scrub sauna masage lazm utakomaa tu upak lotion nzur uvai vzr nuru itaondoka ila km una potential ht km huna hela ila una bajet ya hosptality utakua forever young tu
 
uko sahii sana, si umeona machizi wa kiume wakitembe uchi,, gobole linavyo ning'inia,
halitumiki lipo tu,
au wacheki machizi wa kike wanatumika mno ndio maana ndala tu
 
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time

Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .

Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food

Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa kufikiri kila kitu kipo juu .

Kutoa sperms ni hatari Sana kwa ustawi wa mwonekano wako na Maisha.
Mwaka mzima hujaiona mbususu utakua Na Dopamine home haifanyi kazi vizur 🤣🤸
 
acha habar zako izo za kubumbwa mbona wacheza ngono wana sura nzur mfano mia khalifa mzur kulko dada ako ambae achez ngono nuru uson iashabihiana na kipato chako huna hela ya kwenda salun ufany scrub sauna masage lazm utakomaa tu upak lotion nzur uvai vzr nuru itaondoka ila km una potential ht km huna hela ila una bajet ya hosptality utakua forever young tu
Kama ukiwa makini kusoma utagundua kuwa kawaongelea wanaume kama wahanga yaan ndio wanaopoteza. Na amesema anafikir kuwa sex inawanufaisha zaidi wanawake.
Sasa huyo Mia Khalifa ni mwanaume?
 
Inawezekana kweli lakini nadhani si kufanya ngono tu, nimeona vijana wengi hasa wa kiume wenye shida ya kupiga machine ama wanaochezewa puru zao huwa warembo sana, ngozi nyororo yenye nuru na huwa smart sana wanajijali sana.

Ndomana vijana wa design hii hupendwa sana na watoto wa kike bahati mbaya huwa hawana uwezo wa kufanya lolote hivyo huishia kuwa mashosti
 
Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time

Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .

Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food

Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa kufikiri kila kitu kipo juu .

Kutoa sperms ni hatari Sana kwa ustawi wa mwonekano wako na Maisha.
Dalili za upinde hizi.
 
Back
Top Bottom