The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Hizi stori za vijiweni tu
ChaiNafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time
Ukitazama Vijana Ambao hugonoka wamepoteza Sana Nuru .
Binafsi nipo na 30 yrs now nimeacha Sex kwa muda wa mwaka mmoja na nimeacha kutumia vinywaji vya dukani even junk food
Ila nimerudi early 20 Nuru imewaka uwezo wa kufikiri kila kitu kipo juu .
Kutoa sperms ni hatari Sana kwa ustawi wa mwonekano wako na Maisha.
Huyo jamaa alikuwa kaipania sana inaonekanakuna jamaa baada ya kufunga, harusi akawa anakichafua sana dimba la kati. siku moja alipowatembelea wazazi wake, walipatwa na mshangao baada ya kumuona kapungua sana.
Na hivyo, wakamwambia wazi kabisa awe ana punguza chakula cha usiku.
ikumbukwe jamaa alikuwa bonge flani mayai, lakini alionekana mithili ya wanariadha wa uhabeshi huko.
Ngono ikizidi au ukiitenda kwa kukomoa bila mamisosi na mazoezi hudhoofisha pia.
alikuwa anasimamia kucha haswaaHuyo jamaa alikuwa kaipania sana inaonekana
Kuna kiumbe mnoko mnoko anaitwa Nyeto anakuangalia kwa jicho la kinafiki halafu anatikisa kichwa😂Nafikiri sex inawanufaisha Wanawake Ila kwa wanaume is waste of time