Kwanini mtu ukifanya sana ngono unapoteza nuru usoni ?

Chai
 
Ukiwa unapenda sana tendo hakikisha ulaji wako wa vyakula unakuwa mzuri ili kurudisha nguvu zilizopotea.
 
kuna jamaa baada ya kufunga, harusi akawa anakichafua sana dimba la kati. siku moja alipowatembelea wazazi wake, walipatwa na mshangao baada ya kumuona kapungua sana.

Na hivyo, wakamwambia wazi kabisa awe ana punguza chakula cha usiku.

ikumbukwe jamaa alikuwa bonge flani mayai, lakini alionekana mithili ya wanariadha wa uhabeshi huko.

Ngono ikizidi au ukiitenda kwa kukomoa bila mamisosi na mazoezi hudhoofisha pia.
 
Huyo jamaa alikuwa kaipania sana inaonekana
 
kuna jamaa baada ya kufunga, harusi akawa anakichafua sana dimba la kati. siku moja alipowatembelea wazazi wake, walipatwa na mshangao baada ya kumuona kapungua sana.

Na hivyo, wakamwambia wazi kabisa awe ana punguza chakula cha usiku.

ikumbukwe jamaa alikuwa bonge flani mayai, lakini alionekana mithili ya wanariadha wa uhabeshi huko.

Ngono ikizidi au ukiitenda kwa kukomoa bila mamisosi na
Huyo jamaa alikuwa kaipania sana inaonekana
alikuwa anasimamia kucha haswaa
 
Kuna kiumbe mnoko mnoko anaitwa Nyeto anakuangalia kwa jicho la kinafiki halafu anatikisa kichwa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…