Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Kwanini mtu usipofanya ngono wala kujichua unakuwa na nuru sana usoni?

Wewe Kijana unayechua na wewe Kijana ambaye unaendeshwa na uzinzi

Fanya hivi

Maliza mwezi mmoja bila sex au kujichua

Hakikisha unakula vizuri na kunywa maji.

Kisha kajiangalie katika kioo utaona jinsi uso utakavyokuwa na Nuru.
Very true zinaa inazidisha ufukala na inaongeza majanga
 
Screenshot_20250109-210600_MelBet.jpg
 
Kuna kitu niliwahi kukwama kwa miaka 9,then niliamua no sex no fap for 6 months,nilisali sana Novena.Ila pombe nilikua nakunywa.Jambo Hilo lililokwama kwa miaka 9 likafanikiwa.

So kwa upande wangu no fap,no sex +Prayers unatoboa.
 
Kuna kitu niliwahi kukwama kwa miaka 9,then niliamua no sex no fap for 6 months,nilisaki sana Novena.Ila pombe nilikua nakunywa.Jambo Hilo lililokwama kwa miaka 9 likafanikiwa.

So kwa upande wangu no fap,no sex +Prayers unatoboa.
Great ✊🏿.
 
Ila wadau humu tunajazana ujinga [emoji23]
Eti Nyeto mara mbili kwa wiki?? Na pisi zote hizi.
 
Hivyo vitu havihusiani. Mbona watoto waliobalehe hawapigi mbupu na wana sura ngumu wengi tuu na hawana nuru.
Mnazeeka mnaanza kusingizia ngono na puchu. 😁
 
Mtoa mada utufafqnulie vzur,tuseme nkweli sex inaleta nuksi!?je hata ya mtu na mke wake?.Na je unashauri nin wale ambao wake zao wanawanyima!?. je vep kuhusu nadharia kwamba mtu akisex anapata utulivu wa akili,kama nkweli,je hyo hailet aman ya moyo(inner peace)?.
 
Ngono ipo overrated. Mwanaume anaweza kukaa hadi miezi mitatu bila ngono. Sio tu nuru usoni, hata uwezo wa kufikiri unaongezeka, pia unakuwa attractive to nature.

Wanawake huvutiwa zaidi na mwanaume ambaye hamwagi mwagi ovyo.
 
MATOKEO YA KUWA NA NURU MNG'AO USONI.......NI KUTOKANA NA KUOGA KILA SIKU NA KUTOKUKAA JUANI KWA MUDA MREFU.....HAYO MENGINE ULIYOANDIKA JUU SIO KWELI..........MBONA BAADHI WANAPIGA PU.MBU HATA MARA 6 KWA WIKI,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,NYETOGO KWA SANA STILL WANNA SURA NYORORO



WATER IS THE MOST UNIVERSAL SOLVENT...........BASI FANYA HIVI USIPIGE NYET.O....NA KUTI.A NA USIOGE KWA MUDA WA MWEZI MMOJA THEN UTULETEE REJESHO
 
Back
Top Bottom